Posts

CPWAA KUZINDUA LEO ALBUM YAKE MAISHA CLUB

Image
BONGO FLAVA ENTERTAINMENT EVENTS, Yule bingwa wa kupiga crunk za hatari na beats za mdomo hapa Bongo Cpwaa atakuwa anazindua album yake inayokwenda kwa jina la "PWAA" Katika ukumbi wa Maisha club leo hii tarehe 13 FEB show hii si ya kukosa kabisa. Atasindikizwa na wasanii kibao kama Suma Lee,Chid Benz, Dully sykes,Quick Rocka na wengine kibao. DON'T MISS THE SHOW

GIVE YOUR SPECIAL VALENTINE A ROMANTIC EVENING.

Image
Love words are one of the most romantic and grand ways to say you love someone dearly..There is nothing more special than to hear the one you love whisper the words of love to you through MUSIC... Grace matata & Ben pol with the M band will galvanize your partner to whisper through Classics romantic collection songs.....

MUSOMIAN CASTOR MUMBARA AKIFANYA VITU VYAKE NEPAL

Image
Kijana akiwa kazini huko Nepal

MSANII PABLO AMEFARIKI LEO

Image
Pablo kwa ambae hamfahamu alichana katika wimbo wa daz baba, nipe tano, ukiitizama utamsikia akijitaja jina lake, kavaa t shirt ya mistari.pole kwa wale woote wanaharakati wa mziki wetu kwasababu tumempoteza mmoja wa wanaharakati. mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi . RIP

Msiotahiriwa Kagera Jiandaeni'

Midume ya kisiwa cha Goziba wilayani Muleba mkoani Kagera ambayo haijatahiriwa imetakiwa kujiandaa kushiriki uzinduzi wa tohara kwa wanaume Januari hapo 22 heheeeee. Taarifa iliyotolewa jana na Ubalozi wa Marekani nchini, ilisema uzinduzi huo ni wa aina yake na utafanywa katika maeneo ya vijijini na watu wanaotarajiwa kuhudumiwa ni zaidi ya 3,500 katika miezi kadhaa ijayo. Tohara hiyo na huduma mbalimbali zinazohusu virusi vya Ukimwi zitatolewa bure visiwani humo ambako mahema yatasimikwa kutoka Serikali ya Marekani. Kampeni hiyo inakwenda pamoja na kanuni za msingi, kwamba tohara kwa wanaume ni sehemu ya kinga dhidi ya maambukizi ya Ukimwi na ilishathibitishwa katika maeneo ambako kuna maambukizi makubwa ya ugonjwa huo na idadi ya waliotahiriwa iko chini. Visiwa hivyo vilivyoko ndani ya Ziwa Victoria, vinatambulika kwa kuwa na kiwango cha juu cha vitendo vya ngono kutokana na asili ya biashara ifanyikayo hapo ya uvuvi wa samaki ambayo inamlazimu mvuvi kusafiri huku ...

FURAHI DAY.................

Image
NAWATAKIA WEEKEND NJEMA WAPENZI WOTE WA BLOG HII

NGOMA TIME

Image
SIKILIZA SAUT FM 96.1 FM LIVE FROM ST.AUGUSTINE UNIVERSITY OF TANZANIA KIPINDI CHA NGOMA TIME SAA 8:00 MCHANA MPAKA 10:00 JIONI DON'T MISS THE SHOW