Posts

MAFISADI MPOOOOOO INAWAHUSU HII

Image
Pichani ni hekalu linalomilikiwa na Dikteta Muamar Gaddafi.Jumba hilo la kifahari (thamani yake ni takriban shilingi bilioni 27)lipo jijini London lakini kwa sasa limepata "wamiliki" wapya...watu wasio na makazi maalumu (squatters) wameamua kuchukua sheria mkononi na kuhamia hapo.Nani asiyetaka kuishi kwenye hekalu?Na hasa pale mmiliki wa hekalu hilo maji hana hakika kama kesho atakuwa madarakani!!! Je mafisadi wanapoona picha kama hii viroho haviwadundi japo kidogo?Good news is,hata wasipokumbwa na kimbembe kama hiki cha Gaddafi,siku moja wataitwa mbele ya haki na Mwenyezi Mungu...na hayo mabilioni wanayotudhulumu,kutunyang'anya,kutuibia,kutupora,nk WATAYAACHA HAPA HAPA DUNIANI. SOURCE NI www.chahali.com

UMEIONA HIYO?

Image
gari aina ya Toyota Dyna iliyotengenezwa kwa mfumo wa ghorofa ilikatiza maeneo ya Ubungo. picha ni kwa hisani ya Othman michuzi http://othmanmichuzi.blogspot.com/

HAPPY BIRTHDAY JOKATE MWEGELO

Image

SAMAHANI SANA WAPENZI WA BLOG HII

Kutokana na sababu zisizoweza kuzuilika nimekuwa nikishinda kupublish habari kutokana nakuwa na majukumu mengine ya shule ambayo yamekuwa yamechukua nafasi kubwa zaidi kwa sasa,lakini bado tuko pamoja pindi nitakapokuwa napata nafasi basi nitakuwa najitahidi kuja na kuwapa taarifa za kutosha

CPWAA KUZINDUA LEO ALBUM YAKE MAISHA CLUB

Image
BONGO FLAVA ENTERTAINMENT EVENTS, Yule bingwa wa kupiga crunk za hatari na beats za mdomo hapa Bongo Cpwaa atakuwa anazindua album yake inayokwenda kwa jina la "PWAA" Katika ukumbi wa Maisha club leo hii tarehe 13 FEB show hii si ya kukosa kabisa. Atasindikizwa na wasanii kibao kama Suma Lee,Chid Benz, Dully sykes,Quick Rocka na wengine kibao. DON'T MISS THE SHOW

GIVE YOUR SPECIAL VALENTINE A ROMANTIC EVENING.

Image
Love words are one of the most romantic and grand ways to say you love someone dearly..There is nothing more special than to hear the one you love whisper the words of love to you through MUSIC... Grace matata & Ben pol with the M band will galvanize your partner to whisper through Classics romantic collection songs.....

MUSOMIAN CASTOR MUMBARA AKIFANYA VITU VYAKE NEPAL

Image
Kijana akiwa kazini huko Nepal