Posts
Bunge la Mafarisayo, Masadukayo na Wananchi Wagagagigikoko
- Get link
- X
- Other Apps
Serikali yapiga marufuku WOTE wanaojinadi kuponya/kuganga/kutibu UKIMWI
- Get link
- X
- Other Apps
Serikali imewataka watu wanaojitangaza kutibu UKIMWI zikiwemo taasisi za dini na waganga wa jadi, kuacha mara moja kufanya hivyo kwa kuwa wanafifisha mapambano na kupotosha ukweli kwamba hakuna dawa ya ugonjwa huo kwa sasa. Aidha wanaoishi na ugonjwa huo wanaotumia dawa za kukabiliana na makali yake (ARVs), wameshauriwa kuyapuuza matangazo hayo hasa yanayowataka kuacha kutumia dawa hizo kwa kuwa wakiacha, wanahatarisha maisha yao. Mwenyeki Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi (TACAIDS), Dk Fatma Mrisho aliwaambia waandishi wa habari jana katika mkutano wa kupitia mapendekezo ya kitaalamu na maboresho ya sera na huduma za UKIMWI nchini na kuongeza kuwa hatua kali dhidi ya wahujumu hao zinatakiwa. “Jamii yenyewe inawaendekeza hao wanaojitangazia tiba, kwanza wanakwenda kinyume na Sheria ya UKIMWI ya mwaka 2008, wanafifisha mapambano, mpaka sasa hakuna tiba ya Ukimwi bali kuna dawa za kupunguza kasi ya kuzaliana virusi, wanaojitangazia tiba wanapaswa kushitakiwa,” alisema ...
WAVUVI WA DAGAA MWANZA WAKABIDHIWA KARABAI ZA SOLAR
- Get link
- X
- Other Apps
Mstahiki Meya wa jiji la Mwanza Stanslaus Mabula (katikati) akibonyeza swichi ya taa za kuchaji zinazotumia umeme wa solar kuashiria uzinduzi rasmi wa mradi wa uvuvi wa karabai zinazotumia nishati ya jua, kushoto kwake ni rais wa Umoja wa majiji rafiki (jiji la Housberg na jiji la Mwanza) Michael Shorfa's toka nchini Ujerumani na kulia kwake ni mjumbe aliyeambatana na rais huyo, pembeni kabisa ni kiongozi wa BMU Luchelele iliyopo kata ya Mkolani ambao utakuwa ni wa majaribio kabla ya kuenea maeneo mengine kanda ya ziwa Victoria. source www.gsengo.blogspot.com
WALTER CHILAMBO MFALME MPYA WA EPIQ BONGO STAR SEARCH 2012
- Get link
- X
- Other Apps
Mshindi wa shindano la Epiq Bongo Star Search 2012(EBSS),Walter Chilambo akikabidhiwa sanduku lake lenye kitita cha Sh. milioni 50 usiku wa kuamkia leo ndani ya ukumbi wa Diamond Jubilee,pia katika shindano hilo lililovuta hisia za watu wengi sana,mshindi wa pili amechukua mwanadada Salma Abushir(Zanziba r) na watatu ni Wababa Mtuka(Dar). Majaji wakiwa Kwenye wakiendelea na shughuli ngumu ya kuchagua wasanii Nsami & Barnaba wakiimba kwa pamoja Walter, Godfrey, Wababa, na Norman Ditto na Walter wakipeform pamoja Maddam Rita akimfanyia Make Up Salama, kulia ni Master Jay Salma & Walter Salma Abushiri Pah On e Linah & Amini