WALTER CHILAMBO MFALME MPYA WA EPIQ BONGO STAR SEARCH 2012


Mshindi wa shindano la Epiq Bongo Star Search 2012(EBSS),Walter Chilambo akikabidhiwa sanduku lake lenye kitita cha Sh. milioni 50 usiku wa kuamkia leo ndani ya ukumbi wa Diamond Jubilee,pia katika shindano hilo lililovuta hisia za watu wengi sana,mshindi wa pili amechukua mwanadada Salma Abushir(Zanzibar) na watatu ni Wababa Mtuka(Dar).
Majaji wakiwa Kwenye wakiendelea na shughuli ngumu ya kuchagua wasanii
Nsami & Barnaba wakiimba kwa pamoja
 
Walter, Godfrey, Wababa, na Norman

Ditto na Walter wakipeform pamoja
Maddam Rita akimfanyia Make Up Salama, kulia ni Master Jay
 
Salma & Walter
 
 
Salma Abushiri
Pah One
Linah & Amini

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA