ICHT DJ ACADEMY, ACADEMY YA KWANZA KUFUNGULIWA JIJINI DAR YA KUFUNDISHA KUDJ PROFESSINALLY, KOZI ZITAKAZOFUNDISHWA NI:- INTRODUCTION TO THE DJ INDUSTRY AMBAPO NDANI YAKE KUNA PACKAGE YA KOZI SABA (7) . 1.Set up Machine 2.Mixer Operation 3.Pioneer Operation 4.Basic Mixing 5.Beat Count 6. Beat to Beat mixing 7.Acapella Mixing NA ADVANCE INTRODUCTION TO THE DJ INDUSTRY: AMBAPO NDANI YAKE KUNA PACKAGE YA KOZI (5). 1. Sound and Level 2. Turntable Operation 3. Perfect mixing 4. Scratching 5. Creative mixing and Techniques WALIMU WATAKAO FUNDISHA NI DJ PQ, DJ ZERO NA DJ D OMMY. ACADEMY IKO NYUMA YA BEST BITE KARIBU NA NYUMBANI LOUNGE. MAFUNZO YANATEGEMEA KUANZA TAREHE 4 FEB 2013. KWA MASILIANO ZAIDI JINSI YA KUPATA FOMU ZA KUJIUNGA PIGA ...