MWANZA FASHION WEEKEND MODELS SEARCH


Kwa  mara ya kwanza katika jiji la Mwanza unaletewa Mwanza Fashion Weekend itakayofanyika mwezi March tarehe 2. 

Msako wa models wa kike na kiume watakaopita kwenye runway siku ya onesho utafanyika jumamosi hii tarehe 19-1-2012 katika hoteli ya Goldcrest Ghorofa ya nane kuanzia saa 4 asubuhi mpaka saa 8 mchana.

 Njoo upate nafasi ya kuonesha kipaji chako na kuonesha mavazi ya wabunifu maarufu Afrika Mashariki kama vile Mustspha Hassanali, Martin Kadinda na wengine wengi.

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA