DIAMOND NA LADY JAY DEE WASHINDA TUZO ZA AFRIMMA 2014
Tuzo za African Muzik Magazine Awards(AFRIMMA) mwaka huU zimetolewa huko Eisemann center Texas Marekani na kuhudhuriwa na mastaa mbalimbali wa kutoka Afrika pamoja na Marekani zikiwa hosted na mchekeshaji Basketmouth wa Nigeria. Good news kwa mujibu wa meneja wa Diamond Platnumz, Babu Tale ni kwamba Diamond ameshinda tuzo mbili moja ya Msanii bora wa Afrika Mashariki na nyingine ni wimbo bora wa kushirikiana ambao ni ‘number one rmx’ alioufanya na Davido wa Nigeria. Huku mwanadada Lady Jay Dee akichukua kwa upande wa msanii bora wa kike kutoka Afrika Mashariki. WASHINDI WENGINE WA AFRIMMA AWARDS 2014 Best DJ Africa 2014- Dj Black (Ghana) Best African DJ USA 2014 – Dj Josh (Kenya) Best Video of the Year 2014- Flavour (Nigeria) Best Male East Africa 2014- Diamond (Tanzania) Best Male West Africa 2014- Davido (Nigeria) Best Female East Africa 2014- Lady Jaydee (Tanzania) Best Female West Africa 2014 – Tiwa Savage (Nigeria) Best ...