MAADHIMISHO YA SIKU YA KUMBUKUMBU YA MASHUJAA 25 JULAI, 2014

Raisi
Kikwete akiwa na Mkuu wa majeshi katika maadhimisho ya siku ya mshujaa
ambayo kitaifa yamefanyika jijini Dar Es Salaam kwenye viwanja vya mnazi
mmoja.

Kikosi cha jeshi la wananchi wa Tanzania

Gwaride likiendelea kwenye viwanja hivyo

Raisi Kikwete akiingia kwenye viwanja vya mnazi mmoja akiwa na mkuu wa majeshi(P.T)
Comments
Post a Comment