Posts

WABONGO KWA KUMODIFY

Image
LOL Sina la kusema wadau mnasemaje hapo

MAPENZI KITU CHA AJABU...

Image
Si binadamu tu wanyama pia wamo kwenye mchakato huu,ona picha

MAISHA NDO YANATAKIWA KUISHIA HIVI!

Image

SIO MPAKA UPANDE VX AU BENZ

Image
bi harusi na bwana harusi Bi harusi na bwana harusi huko majuu,lakini wanaona jambo la kawaida kupanda ndinga kama hii,pande za kwetu huku ni bonge la mzozo

APPLICATION FORM FOR ADMISSION ZINAPATIKANA

Image
Ndio maana lugha ikatafasiliwa kuwa ni sauti za nasibu zilizokubaliwa na wanajamii moja kwa ajili ya mawasiliano,neno hili kwa kiswahili lina maana tofauti kabisa,lakini kwa raia hawa unaowaona kwao lina maana nyingine kabisa...na kiswahili tunachokitumia...ingekuwa vipi sasa kiko hapa Bongo ungempeleka mwanao

HAPPY BIRTHDAY WILHELM ODDO

Image
WILHELM ODDO Leo ni siku ya kuzaliwa Wilhelm Oddo,wanalibeneke wote tunakutakia maisha mema na marefu na Mungu akusaidie katika masomo yako hapo Kampala International University.

kuwa makini na kandambili from Chin...........a

Image
si mchezo hizi ni kandambili kutoka china zilizosababisha kutokea kwa michubuko katika miguu,so be careful........

Pesa - Chime Group from Musoma Town

Siku ya leo nimekuja kiutofauti kiasi fulani nakuwa naongelea mkoa wa Mara sehemu niliyozaliwa kule na kupata elimu yangu yamsingi na sekondari pia,waswahili wanasema kuwa "mkataa kwao ni mtumwa" Nisikilize mimi pia soma hapa chini uweze kulifahamu hili kundi. Chime Group ni group la muziki linalopatikana mkoani Mara ambalo linajishughulisha na swala zima la muziki wa asili ya kitanzania,kundi hili niliweza kulifahamu mwishoni mwa mwaka ya 90 na kuweza kuteka hisia za wapenzi wa muziki pale Musoma wakitumia lugha ya kijita lakini pia wakitumia kiswahili,sikiliza wimbo huu upate kulifahamu kundi hili.

Nymba Ntobhu - Women Marrying Women

WANAWAKE WANAPOOLEWA NA WANAWAKE WENZAO TUPINGE UKATILI HUU,CHECK ZE VIDEO ABOVE.

JAPOKUWA HAYUPO LAKINI BADO SPEECH ZAKE ZINA SOUND......

Image
Duniani humu kuna visa vingi sana ebu ona mambo yanayofanyika duniani,it's funny .........

PROMOSHENI MPYA YA TIGO KWELI INAWAJALI WATEJA WAKE

Image
Leo katika mishemishe zangu mitaani maeneo ya Trafic light,morocco,Red cross,Salender Bridge nimekutana na vijana wengi wakiwa na mabango yanayosomeka hapo juu kuhusu promosheni mpya ya Tigo. Kushoto ni meneja Uhusiano wa Tigo Jackson Mmbando na kulia ni meneja matangazo na promosheni Redemtus masaja akizindua Rasmi jana viwango nafuu vipya vya mawasiliano kwa wateja wa Tigo kuanzia leo. Ukiwa Tigo Thumni inathamani kama zamani!Ongea utakavyo, sasa ni nusu shilingi kila sekunde baada ya dakika ya kwanza,saa20 kwa siku, kasoro saa12jioni-4usiku.