PROMOSHENI MPYA YA TIGO KWELI INAWAJALI WATEJA WAKE


Leo katika mishemishe zangu mitaani maeneo ya Trafic light,morocco,Red cross,Salender Bridge nimekutana na vijana wengi wakiwa na mabango yanayosomeka hapo juu kuhusu promosheni mpya ya Tigo.
Kushoto ni meneja Uhusiano wa Tigo Jackson Mmbando na kulia ni meneja matangazo na promosheni Redemtus masaja akizindua Rasmi jana viwango nafuu vipya vya mawasiliano kwa wateja wa Tigo kuanzia leo. Ukiwa Tigo Thumni inathamani kama zamani!Ongea utakavyo, sasa ni nusu shilingi kila sekunde baada ya dakika ya kwanza,saa20 kwa siku, kasoro saa12jioni-4usiku.

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA