Pesa - Chime Group from Musoma Town

Siku ya leo nimekuja kiutofauti kiasi fulani nakuwa naongelea mkoa wa Mara sehemu niliyozaliwa kule na kupata elimu yangu yamsingi na sekondari pia,waswahili wanasema kuwa "mkataa kwao ni mtumwa"
Nisikilize mimi pia soma hapa chini uweze kulifahamu hili kundi.

Chime Group ni group la muziki linalopatikana mkoani Mara ambalo linajishughulisha na swala zima la muziki wa asili ya kitanzania,kundi hili niliweza kulifahamu mwishoni mwa mwaka ya 90 na kuweza kuteka hisia za wapenzi wa muziki pale Musoma wakitumia lugha ya kijita lakini pia wakitumia kiswahili,sikiliza wimbo huu upate kulifahamu kundi hili.


Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA