Posts

JAMANI HII MVUA

Image
Mvua hii iliyonyeesha Dar kwa hizi siku tatu basi hali hiko hivi kwa maeneo ya mwananyamala,msasani,mikocheni maeneo ya shoppers plaza,Buguruni daaa....ni siwasahau watu wa manzese na kwa Mtogole

MAMAAAAAAAA YANGU

Image
Do u see this pic?this is the new upcoming model

JUST COMPARE! ITS FUNNY

Image

wadau mpo hapo

Image
umeona ambulance ya kiaina maeneo fulani fulani

KWELI KIPIGO KINAPOZIDI UWA INAKUWA HIVI

Image
Kibaka kamua kujisalimisha kwa askari,just imagine police hatoe tamko kwa raia....kumaliza mchezo wa kumbadilisha jina....lol

TUTAFIKA KWELI?

Image
Haya ndo maisha yaliyoko katika shule zetu hapa nchini,ukosefu wa walimu na pia mazingira mabovu ya kusomea kama unavyoyaona pichani,nashukuru sana kwa wadau ambao mnanisaidia kunipa picha kama hizi.

hizi filamu zetu za kibongo zinajenga?

Image
anti Ezekiel na Steven Kanumba Ki ukweli ukiangalia picha kama hii hapa sidhani kama huko na mzazi wako mkitizama TV utaendelea kutupa macho yako katika TV,jamani wasanii wa filamu tufuate maadili ya kitanzania sometime nashindwa kabisa kuangalia filamu zenu ambazo zimejaa mambo ya mapenzi.....sanaa....kuliko ujumbe mwengine tubadilike tuachane na usasa....tusisahau maadili yetu

maisha safari ndefu

Image
obama na bibi yake picha hii inaonyesha wakati Rais wa Marekani Obama akiwa na bibi yake nchini kenya ambako alizaliwa baba yake mzazi

Ajali Nyingine Mbaya Yaua Wanafunzi 18,Majeruhi 125

JIJI la Tanga limfeunikwa na simamzi kuu kufatia wanafunzi 18 wa Chuo cha Kiislamu cha Shamsil-Maariff kufa papo hapo na wengine 125 kujeruhiwa vibaya, baada ya lori walilokuwa wakisafiria kutoka kwenye sherehe za maulidi kupinduka. Habari hii ni kwa hisani ya www.chahali.blogspot.com

IMETIMIA MWAKA MMOJA TANGU MLIPUKO WA MABOMU MBAGALA..

Image
Milipuko ya Mabomu - Mbagala ni tukio lililotokea mnamo saa 11:45 asubuhi ya tar. 29 April ya mwaka wa 2009 katika eneo la Mbagala jijini Dar es Salaam, Tanzania. Ni baada ya mabomu kulipuka katika ghala ya silaha ya kambi ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) namba 671 KJ.sasa ni mwaka mmoja tangu yalipotokea.. Mabomu hayo yaliyokuwa yakilipuka kwa mfululizo yamesababisha vifo vya watu zaidi ya 20, kujeruhi zaidi ya watu 200 na mamia kadhaa, wengi wao wakiwa ni watoto, kupotea. Athari nyingine ni uharibifu wa majumba na mali.

TATIZO LA INTANETI LILILOSAMBAA AFRICA,ASIA,EUROP E

Image
Tatizo la intaneti ambalo limelalamikiwa na wenye blogu wengi si tu kuwa limeathiri eneo moja bali limegusa nchi katika mabara matatu - Afrika, Asia na Ulaya. Mmoja wa bloga mashuhuri wa India, Amit Agarwal wa blogu ya labnol.org anaandika na kuthibitisha kupatwa na tatizo hilo na anasema kuwa, tatizo hili limesababishwa na hitilafu katika mawasiliano hayo yaliyopo chini ya bahari na inatarajiwa kuwa yatachukua hadi siku tatu hivi hadi matengenezo yakamilike, "Internet services across India have been affected because of faults in an undersea cable (SEA-ME-WE 4) that carries the majority of Internet traffic between South East Asia and Europe. The repair work is expected to be over in the next 2-3 days.

PATA MAKUNDI YA KOMBE LA DUNIA

Image