hizi filamu zetu za kibongo zinajenga?

anti Ezekiel na Steven Kanumba
Ki ukweli ukiangalia picha kama hii hapa sidhani kama huko na mzazi wako mkitizama TV utaendelea kutupa macho yako katika TV,jamani wasanii wa filamu tufuate maadili ya kitanzania sometime nashindwa kabisa kuangalia filamu zenu ambazo zimejaa mambo ya mapenzi.....sanaa....kuliko ujumbe mwengine tubadilike tuachane na usasa....tusisahau maadili yetu

Comments

  1. We need reality shows!!! Hivi we kaka huendagi beach za bongo ukayaona haya?? Kanumba na Anti Ezekiel wanatupa vitu vya ukweli... sio maisha ya kujifanya kama vile eti hatufanyagi mambo haya

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA