Posts

NIGERIA YAPITISHA SHERIA YA KUPIGA MARUFUKU USHOGA

Kwa kile Kinachoonekana kama kuikomoa Uingereza na wanaharakati wa haki za mashoga, Bunge la senate la nigeria limepitisha Sheria ya Kuzuia Ushoga nchini humu. Ikumbukwe kuwa katika nchi zilizo endelea Ushoga unachangia zaidi ya asilimia 60% ya Maambukizi ya VVU. Suala la Kujiuliza ni kuwa wakati tunasimamia maadili ya Kiafrika na kuepuka ukiritimba wa Nchi zilizoendelea wa masharti mabovu ya Misaada, Je hatua hii ina manufaa au hasara gani katika mapambano na VVU? . Mfano Tanzania VVU kwa mashoga ni zaidi ya 12%. Je ni busara kuufumbia macho ushoga kimaadili na kuendeleza harakati za kuzuia VVU kwa jamii hiyo? Au ni vema kufumba macho kwa wanaharakati wa haki za Jamii hiyo na Kusimamia maadili yetu? Majibu Unayo

HAPPY BIRTHDAY FREDRICK BUNDALA (SKYWIZZY)

Image

RAIS KIKWETE ATIA SAINI MUSWADA WA KATIBA.

Image
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Jumanne, Novemba 29, 2011, ametia saini Muswada wa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba ya Mwaka 2011. Hatua hiyo ya Mheshimiwa Rais kutia saini Muswada huo inakamilisha safari ya kutungwa kwa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba ya Mwaka 2011 baada ya Bunge kuwa limepitisha Muswada huo uliowasilishwa na Serikali katika kikao kilichopita cha Bunge. Aidha, kutiwa saini kwa Muswada huo ili uwe Sheria ni hatua kubwa na muhimu katika safari ya kutungwa kwa Katiba mpya ya Tanzania kama ilivyoahidiwa na Mheshimiwa Rais Kikwete katika salamu zake za Mwaka Mpya kwa wananchi Desemba 31, mwaka jana, 2010. Pamoja na kutiwa saini hiyo bado Serikali itaendelea kusikiliza maoni na mawazo ya wadau na wananchi mbalimbali kuhusu namna ya kuboresha sheria hiyo. Hivyo, Mheshimiwa Rais Kikwete anatoa wito kwa mwananchi yoyote mwenye maoni ama mawazo ya namna ya kuboresha Sheria hiyo,

MwanaFA ft Linah - Yalaiti Lyrics

Image
Sshhhh,classic classic.. Keeping the good music alive, That's me job, You my sunshine my moonlight and everything I dream about, Linah,let's go.. Chorus.. Yalaiti,napenda pasi kifani/ Tofauti,sikutilii moyoni/ Sikuachi,leo na kesho peponi/ Anh anh anh anh anh anh I love you/ Verse I Sambaza love kama dawa/ huachi mpaka napagawa/ hata ukisema mi sio Hamis natingisha kichwa/ mapenzi yako yanielemea ka chupa nzima ya tequila/ usirushe somo nakupenda acha masihara/ ina haja gani unishikie fimbo ili nikuskize ka gorilla/ mi ni mtu na mapenzi yangu nishaacha zamani usela/ una matatizo najua,na mi nna yangu boo/ we sit together from this moment,we see them through/ nikikukosea nisute,nipige vibao,nizodoe/ ninunie kwa siku kadhaa ila nnachoomba usinikimbie/ mapenzi ya utemi kwangu hadithi mambo ya kizamani hayo/ ukiniudhi ntapiga kwa khanga ndio nimefunzwa Tanga hivyo/ utaoga mabusu nikufute kwa kumbatio/mpaka kama nikisafiri ukinikumbuka iwe kilio/ sipendi mapenzi napenda mapenzi

MANENO KUTOKA KWA PANCHO

Kutoka kwenye wall ya facebook ya producer Pancho Magawa Saymon kasema haya ‎...Ma Fans Latino Nation nielewen Nimesema Sifanyi kazi tena na Joh bt sijasema nina Bifu nae,Sina Bifu na mtu This is True Say ...."Joh Makini what the hell iz that meeeen,Umerekodi ngoma bure credit pia za studio umeshindwa kutoa kwenye Crap Video yako.Um Fed Up Official with You this is Bushit.You pamoja na Huyo Adam juma"

BLACK ON BLACK ALBUM LAUNCH PARTY

Image

KUTOKA SAUT: SHEREHE ZA MAHAFALI YA 13 YAFANA SANA

Image
Wadau wakiwa tayari kwa kutunukiwa shahada zao Ni siku ya furaha kwa kila mhitimu MC wa sherehe hizo za leo Lulu Sanga akiwa kazini kwa kutoa utaratibu katika mahafali hayo. Mwanafunzi bora wa mwaka huu, Joseph Masaba aliyevunja rekodi ya kwa kupata First Class ya 4.7 akipongezwa na mgeni Rasmi Mhashamu baba askofu Jude Thadaeus Ruwa’ichi Mkuu wa Chuo cha Mtakatifu Agustino katika mahafali hayo katika viwanja vya Raila Odinga. Mwanafunzi aliyefanya vizuri kwa upande wa Masters Degree kwa kupata daraja la kwanza la 4.5, Mgisha H. Steven aliyekuwa akisoma shahada ya pili ya sheria akitoka kutoa heshima kwa mgeni rasmi.