NIGERIA YAPITISHA SHERIA YA KUPIGA MARUFUKU USHOGA

Kwa kile Kinachoonekana kama kuikomoa Uingereza na wanaharakati wa haki za mashoga, Bunge la senate la nigeria limepitisha Sheria ya Kuzuia Ushoga nchini humu. Ikumbukwe kuwa katika nchi zilizo endelea Ushoga unachangia zaidi ya asilimia 60% ya Maambukizi ya VVU.
Suala la Kujiuliza ni kuwa wakati tunasimamia maadili ya Kiafrika na kuepuka ukiritimba wa Nchi zilizoendelea wa masharti mabovu ya Misaada, Je hatua hii ina manufaa au hasara gani katika mapambano na VVU? . Mfano Tanzania VVU kwa mashoga ni zaidi ya 12%. Je ni busara kuufumbia macho ushoga kimaadili na kuendeleza harakati za kuzuia VVU kwa jamii hiyo? Au ni vema kufumba macho kwa wanaharakati wa haki za Jamii hiyo na Kusimamia maadili yetu? Majibu Unayo

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA