Posts

SWAHILI FASHION WEEK T-SHIRT DESIGNING COMPETITION 2012

Image

MHASHAMU BABA ASKOFU BALINA ANAAGWA JIJINI MWANZA, KUZIKWA SHINYANGA JUMAMOSI

Image
     Picha ni kwa hisani ya gsengo.blogspot.com

ROCK CITY INTERCOLLEGE FESTIVAL KUFANYIKA JUMAMOSI HII TAREHE 10

Image
LILE TAMASHA LILILOKUWA LIKISUBIRIWA KWA HAMU KUBWA LINALOWAUNGANISHA WANAVYUO WA MKOANI MWANZA LITAFANYIKA SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 10 NOVEMBER KATIKA UWANJA WA NYAMAGANA KUANZIA SAA 6 MCHANA MPAKA KUCHEEE. USAFIRI WA KWENDA NA KURUDI UTAKUWEPO KWA KILA CHUO, PIA ATAKUWEPO MSANII ALIYESHNDA TUZO ZA KISIMA KUTOKA KENYA MAARUFU KAMA MZEE WA SINZIA AKA NAMELESS ATAKUWEPO USIKU HUO KUZIKONGA NYOYO ZA WANACHUO WA MWANZA NA WAKAZI WAKE..... KUTAKUWA NA BONAZA LA MICHEZO KUTOKA KATIKA VYUO SHIRIKI KAMA SAUT,BUGANDO,FISHERIES, MIPANGO,HIJJA,CBE...... MPE TAARIFA MWANACHUO MWENZIO,COME ONE...COME ALL....TUTENGENEZE NETWORK PIA NA KUSOCIALIZE HUKU TUKIBURUDIKA KWA BURUDANI ZA KILA AINA,HUKU MUZIKI MZURI UKISHUSHWA NA DJ JEFF JERRY KUTOKA KISS FM NA KING DEEJAY NELLY AMBAY NI OFFICIAL DJ WA MSANII KUTOKA KENYA JUA CALI.

VICHWA VYA HABARI VYA MAGAZETI YA LEO NOVEMBER 7

Image
. . . . . . . . . . . . . . . .

OBAMA ASHINDA UCHAGUZI WA URAIS NCHINI MAREKANI

Image
Barack Obama ashinda uchaguzi wa urais nchini Marekani. Kura zinaendelea kuhesabiwa lakini mahesabu yalipofikia mpaka sasa, Obama ameshashinda na hakuna uwezekano wo wote kwa mpinzani wake, Mitt Romney, kushinda. ABC News, CNN, Fox News zimethibitisha kwamba President Obama ameshinda na ataendelea kuwa rais kwa miaka minne ijayo. 

TANZIA ASKOFU WA JIMBO KATOLIKI SHINYANGA ALOYSIUS BALINA AMEFARIKI DUNIA

Image
Mhashamu Askofu wa kanisa la Katoliki jimbo la Shinyanga mjini Aloysius Balina amefariki dunia leo asubuhi majira ya saa tano katika Hospitali ya Rufaa Bugando jijini Mwanza alikokuwa akipatiwa matibabu. Akithibitisha taarifa hizi Mkurugenzi wa Hospitali ya Rufaa Bugando Dr. Charles Majinge amesema kuwa "Ni kweli Mhashamu Baba Askofu Balina amefariki majira ya saa tano asubuhi ya leo na alikuwa amelazwa hospitalini hapa akitibiwa kutokana na kusumbuliwa na tatizo la ugonjwa wa kansa" Marehemu Mhashamu Baba Askofu kabla ya kuwa askofu wa jimbo katoliki Shinyanga alikuwa Askofu wa kwanza wa jimbo Katoliki la Geita kabla ya kuhamishiwa jimbo kuu la Shinyanga. Taratibu za mazishi na taarifa zaidi zitatolewa na Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania hivyo waumini wanataarifiwa kuwa watulivu kwa kipindi hiki na kumwombea marehemu wakati tukisubiri kutangazwa rasmi. Bishop Aloysius A. Balina alizaliwa june 21st 1945 katika mji wa Isoso, Ntuzu wilayani Bariadi; na kupewa da

MAGAZETI YA LEO 6,NOVEMBER

Image
. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .