OBAMA ASHINDA UCHAGUZI WA URAIS NCHINI MAREKANI



Barack Obama ashinda uchaguzi wa urais nchini Marekani. Kura zinaendelea kuhesabiwa lakini mahesabu yalipofikia mpaka sasa, Obama ameshashinda na hakuna uwezekano wowote kwa mpinzani wake, Mitt Romney, kushinda.

ABC News, CNN, Fox News zimethibitisha kwamba President Obama ameshinda na ataendelea kuwa rais kwa miaka minne ijayo. 






































Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA