Posts

MSIKILIZE KAD GO KATKA MAPANDE 20 TOKA TAMADUNIMUZIK.

Image

mapande 20 ya Azma kutoma Tamadunimuziki

Image

Bunge la Mafarisayo, Masadukayo na Wananchi Wagagagigikoko

Image

Serikali yapiga marufuku WOTE wanaojinadi kuponya/kuganga/kutibu UKIMWI

Serikali imewataka watu wanaojitangaza kutibu UKIMWI zikiwemo taasisi za dini na waganga wa jadi, kuacha mara moja kufanya hivyo kwa kuwa wanafifisha mapambano na kupotosha ukweli kwamba hakuna dawa ya ugonjwa huo kwa sasa. Aidha wanaoishi na ugonjwa huo wanaotumia dawa za kukabiliana na makali yake (ARVs), wameshauriwa kuyapuuza matangazo hayo hasa yanayowataka kuacha kutumia dawa hizo kwa kuwa wakiacha, wanahatarisha maisha yao. Mwenyeki Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi (TACAIDS), Dk Fatma Mrisho aliwaambia waandishi wa habari jana katika mkutano wa kupitia mapendekezo ya kitaalamu na maboresho ya sera na huduma za UKIMWI nchini na kuongeza kuwa hatua kali dhidi ya wahujumu hao zinatakiwa. “Jamii yenyewe inawaendekeza hao wanaojitangazia tiba, kwanza wanakwenda kinyume na Sheria ya UKIMWI ya mwaka 2008, wanafifisha mapambano, mpaka sasa hakuna tiba ya Ukimwi bali kuna dawa za kupunguza kasi ya kuzaliana virusi, wanaojitangazia tiba wanapaswa kushitakiwa,” alisema

VICHWA VYA MAGEZI LEO JUMATATU, NOVEMBER 12

Image
. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . ..

WAVUVI WA DAGAA MWANZA WAKABIDHIWA KARABAI ZA SOLAR

Image
Mstahiki Meya wa jiji la Mwanza Stanslaus Mabula (katikati) akibonyeza swichi ya taa za kuchaji zinazotumia umeme wa solar kuashiria uzinduzi rasmi wa mradi wa uvuvi wa karabai zinazotumia nishati ya jua, kushoto kwake ni rais wa Umoja wa majiji rafiki (jiji la Housberg na jiji la Mwanza) Michael Shorfa's toka nchini Ujerumani na kulia kwake ni mjumbe aliyeambatana na rais huyo, pembeni kabisa ni kiongozi wa BMU Luchelele iliyopo kata ya Mkolani ambao utakuwa ni wa majaribio kabla ya kuenea maeneo mengine kanda ya ziwa Victoria. source www.gsengo.blogspot.com

WALTER CHILAMBO MFALME MPYA WA EPIQ BONGO STAR SEARCH 2012

Image
Mshindi wa shindano la Epiq Bongo Star Search 2012(EBSS),Walter Chilambo  akikabidhiwa sanduku lake lenye kitita cha  Sh. milioni 50  usiku wa kuamkia leo ndani ya ukumbi wa Diamond Jubilee,pia katika shindano hilo lililovuta hisia za watu wengi sana,mshindi wa pili amechukua mwanadada  Salma Abushir(Zanziba r) na watatu ni  Wababa Mtuka(Dar). Majaji wakiwa Kwenye wakiendelea na shughuli ngumu ya kuchagua wasanii Nsami & Barnaba wakiimba kwa pamoja   Walter, Godfrey, Wababa, na Norman Ditto na Walter wakipeform pamoja Maddam Rita akimfanyia Make Up Salama, kulia ni Master Jay   Salma & Walter     Salma Abushiri Pah On e Linah & Amini

Fidstyle Friday week 30 with Nikki Mbishi

Image

ROCK CITY INTERCOLLEGE FESTIVAL KUFANYIKA KESHO

Image
LILE TAMASHA LILILOKUWA LIKISUBIRIWA KWA HAMU KUBWA LINALOWAUNGANISHA WANAVYUO WA MKOANI MWANZA LITAFANYIKA SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 10 NOVEMBER KATIKA UWANJA WA NYAMAGANA KUANZIA SAA 6 MCHANA MPAKA KUCHEEE. USAFIRI WA KWENDA NA KURUDI UTAKUWEPO KWA KILA CHUO, PIA ATAKUWEPO MSANII ALIYESHNDA TUZO ZA KISIMA KUTOKA KENYA MAARUFU KAMA MZEE WA SINZIA AKA NAMELESS ATAKUWEPO USIKU HUO KUZIKONGA NYOYO ZA WANACHUO WA MWANZA NA WAKAZI WAKE..... KUTAKUWA NA BONAZA LA MICHEZO KUTOKA KATIKA VYUO SHIRIKI KAMA SAUT,BUGANDO,FISHERIES, MIPANGO,HIJJA,CBE...... MPE TAARIFA MWANACHUO MWENZIO,COME ONE...COME ALL....TUTENGENEZE NETWORK PIA NA KUSOCIALIZE HUKU TUKIBURUDIKA KWA BURUDANI ZA KILA AINA,HUKU MUZIKI MZURI UKISHUSHWA NA DJ JEFF JERRY KUTOKA KISS FM NA KING DEEJAY NELLY AMBAY NI OFFICIAL DJ WA MSANII KUTOKA KENYA JUA CALI.

TWANGA PEPETA NDANI YA DAR LIVE,JUMAPILI HII

Image

SEMINAR SEMINAR KWA WANACHAMA WA SSPRA

WALE MEMBERS WA SSPRA NA WENGINE WENYE MAPENZI MEMA NA ASSOCIATION MNAKUMBUSHWA KWAMBA JUMAPILI SAA 6 MCHANA MPAKA SAA 10 JIONI KUTAKUAWA NA SEMINAR YA INTERNET USE AND SURFING DARASA LA M1,JITAHIDI KUJA NA LAPTOP PAMOJA NA MODEM........FIKA BILA KUKOSA, MPE TAARIFA NA MWINGINE.

MAGAZETI YA LEO IJUMAA,NOV 9

Image
. . . . . . . . . . . . . . . . . . .