Posts

AY ANYAKUA TUZO YA CHANNEL O

Image
Juzi  ilikuwa ni siku nzuri na kubwa sana kwa Watanzania na wana-East Africa Kwa Ujumla, maana Mtanzania Ambwene Yessaya shortly known as A.Y alinyakua tuzo hiyo kubwa sana Africa ikifahamika kama MOST GIFTED EAST AFRICAN VIDEO OF THE YEAR AWARD kutoka katika Tuzo kubwa Africa, nikimaanisha tuzo za Channel O yaani #CHOMVA kwa mwaka huu wa 2012. AY a.k.a "Mzee Wa Commercial" alichukua tuzo hiyo kupitia video yake ya I DON'T WANNA BE ALONE aliyowashirikisha wasaanii wa kundi kutoka kenya wanaofahamika kama SAUTI SOL. On top of that, AY aliibuka on stage na mshkaji wake wa karibu, (i bet you know him already) ambaye wametoka mbali wakiwa pamoja, niseme since the beginning of their game. YES! MwanaFA... these guys been supporting each other since day one. Big Up AY, Big Up Sauti Sol, Big Up Ogopa Video Productions... Its a real piece of work you guys had it together. Keep Working HARD, Yeah it pays. WE PROUD!!

FOUNDATION OF GROUP BEHAVIOR

Foundation of Group Behaviour More PowerPoint presentations from aSGuest132697

BURUDIKA NA AZONTO WEEKEND HII

Image

DOWNLOAD NA USIKILIZE NYIMBO MPYA

HAPPY BIRTHDAY HOMEBOY KUMBA ROBERT

Image
T Today  is a day of celebration. Why? Because,  years ago on the same day, GOD sent me my flesh and bone conscience. Wishing my friendly inner voice a very happy birthday homeboy.

UNAMKUMBUKA RAH P???MSIKILIZE HAPA ANAVYOSIKITISHA.

Image
Kali TV visited Houston Texas and met with Fredinah Peyton a.k.a Rah P. Rah P was one of the promising female hip hop artist to come from Tanzania. Rah P explained to Kali TV what happened to her career and plans she has on the future.

HAPPY BIRTHDAY SALOME

Image
NAKUTAKIA MAISHA MEMA NA MAREFU KATIKA USO HUU WA DUNIA, MTII MUNGU NA KUFUATA YAKE YALIYO MEMA..

VICHWA VYA MAGAZETI YA LEO TAREHE 14, NOV

Image
. . . . . . . . . . . . . .

MSIKILIZE KAD GO KATKA MAPANDE 20 TOKA TAMADUNIMUZIK.

Image

mapande 20 ya Azma kutoma Tamadunimuziki

Image

Bunge la Mafarisayo, Masadukayo na Wananchi Wagagagigikoko

Image

Serikali yapiga marufuku WOTE wanaojinadi kuponya/kuganga/kutibu UKIMWI

Serikali imewataka watu wanaojitangaza kutibu UKIMWI zikiwemo taasisi za dini na waganga wa jadi, kuacha mara moja kufanya hivyo kwa kuwa wanafifisha mapambano na kupotosha ukweli kwamba hakuna dawa ya ugonjwa huo kwa sasa. Aidha wanaoishi na ugonjwa huo wanaotumia dawa za kukabiliana na makali yake (ARVs), wameshauriwa kuyapuuza matangazo hayo hasa yanayowataka kuacha kutumia dawa hizo kwa kuwa wakiacha, wanahatarisha maisha yao. Mwenyeki Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi (TACAIDS), Dk Fatma Mrisho aliwaambia waandishi wa habari jana katika mkutano wa kupitia mapendekezo ya kitaalamu na maboresho ya sera na huduma za UKIMWI nchini na kuongeza kuwa hatua kali dhidi ya wahujumu hao zinatakiwa. “Jamii yenyewe inawaendekeza hao wanaojitangazia tiba, kwanza wanakwenda kinyume na Sheria ya UKIMWI ya mwaka 2008, wanafifisha mapambano, mpaka sasa hakuna tiba ya Ukimwi bali kuna dawa za kupunguza kasi ya kuzaliana virusi, wanaojitangazia tiba wanapaswa kushitakiwa,” alisema