AY ANYAKUA TUZO YA CHANNEL O


Juzi  ilikuwa ni siku nzuri na kubwa sana kwa Watanzania na wana-East Africa Kwa Ujumla, maana Mtanzania Ambwene Yessaya shortly known as A.Y alinyakua tuzo hiyo kubwa sana Africa ikifahamika kama MOST GIFTED EAST AFRICAN VIDEO OF THE YEAR AWARD kutoka katika Tuzo kubwa Africa, nikimaanisha tuzo za Channel O yaani #CHOMVA kwa mwaka huu wa 2012. AY a.k.a "Mzee Wa Commercial" alichukua tuzo hiyo kupitia video yake ya I DON'T WANNA BE ALONE aliyowashirikisha wasaanii wa kundi kutoka kenya wanaofahamika kama SAUTI SOL.
On top of that, AY aliibuka on stage na mshkaji wake wa karibu, (i bet you know him already) ambaye wametoka mbali wakiwa pamoja, niseme since the beginning of their game. YES! MwanaFA... these guys been supporting each other since day one. Big Up AY, Big Up Sauti Sol, Big Up Ogopa Video Productions... Its a real piece of work you guys had it together. Keep Working HARD, Yeah it pays. WE PROUD!!

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA