Posts

VICHWA VYA MAGAZETI VYA LEO JUMATATU

Image
. . . . . . . . . . . . . . . . .

PRO NDANI YA HIKI KICHUPA CHA MAKAMUA KAKING'ARISHA

Image

Majambazi wavamia msafara wa maiti Singida wapora zaidi ya milioni 19 na kuvunja na kusachi jeneza.

Image
Gari aina ya Land Cruiser mali ya chuo cha SUA cha mjini Morogoro kama linavyoonekana baada ya kupigwa mawe na watu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi nje kidogo ya mji wa Singida. Mhudumu wa chumba cha kuhifadhia maiti cha hospitali ya mkoa mjini Singida ambaye jina lake halikuweza kutambuliwa mara moja, akiliweka sawa jeneza baada ya kufanyiwa ukarabati baada ya kubomolewa na majambazi na kulisachi. (Picha na Nathaniel Limu). Na Nathaniel Limu. Watu wasiofahamika idadi yao na ambao wanadhaniwa kuwa ni majambazi, wamevamia gari lililokuwa linasafirisha maiti kutoka Morogoro mjini hadi mkoa wa Mara na kupora  zaidi ya shilingi milioni 19.8. Baada ya kumaliza zoezi la uporaji huo, majambazi hayo yalishusha jeneza na kisha kulifumua na kuanza kulisachi. Jeneza hilo lilikuwa limebeba mwili wa mwanafunzi  Munchari Lyoba, mwanafunzi wa mwaka wa tatu aliyekuwa anasomea elimu ya biashara kwenye chuo cha SUA. Amesema gari hilo lilibeba viongozi wa wanafunzi sita na viongozi wen

SWAHILI FASHION WEEK KUFANYIKA KUANZIA TAREHE 6-8 PALE GORDEN TULIP

Image

DIAMOND PLATNUMZ: NATAKA KULEWA OFFICIAL VIDEO

Image

LEO SIKU YA UKIMWI DUNIANI

Image
Leo dunia yote inadhimisha siku ya ukimwi duniani ambayo ufanyika kila tarehe 1/12 katika kuwakumbusha watu uwepo wa ugonjwa huu na kuwapa watu elimu juu ya kujizuia na maambukizi mapya. Blog hii inapenda kuwakumbusha watu wote kuwa makini na kuchukua hatua madhubuti za kuweza kujikinga na maambukizo ya virusi hivi ambavyo ni hatari ambapo mpaka leo dunia haijapata uvumbuzi wa dawa yake wala chanjo Pia waliokatika matumizi ya dawa za kupunguza makali basi wafuate masharti yote wanayoambiwa na madaktari. Pia tutumie siku hii ya leo katika kuwakumbuka ndugu zetu waliotangulia mbele ya haki kwa sababu ya gonjwa hili na kuwaombea ndugu na jamaa zetu ambao wameadhilika .

TUZO KUBWA ZA MITINDO KATIKA UKANDA WA AFRIKA MASHARIKI NA KATI ZA SWAHILI FASHION WEEK KUFANYIKA TENA KWA MARA YA PILI

Image
WASHIRIKI WA TUZO ZA SWAHILI FASHION WEEK 2012 WATAJWA CHAGUA MWANAMITINDO NA MBUNIFU BORA 2012 Wandaaji wa Tuzo kubwa za mitindo katika ukanda wa Afrika mashariki na kati wametangaza majina ya waliopendekezwa kushiriki katika kuwania tuzo mbalimbali za Swahili Fashion Week 2012 ikiwa pamoja na njia zitakazotumika kuwapigia kura washiriki wa tuzo hizo. Kufuatia mafanikio makubwa yaliyopatikana katika tuzo za mwaka jana, Tuzo za Swahili Fashion Week 2012 zinazoendana na kusherehekea miaka mitano tangu kuzaliwa kwa onyesho hili kubwa la mitindo Afrika Mashariki na kati mwaka huu, zimeongezwa tuzo nyengine tatu kutoka katika tuzo za mwaka jana ili kuweza kutoa changamoto kubwa zaidi katika tasnia ya mitindo hapa nchini na ukanda wote wa Afrika Mashariki na Kati. Hivyo kufanya jumla ya tuzo 15 kuwaniwa mwaka huu kutoka tuzo 12 za mwaka jana. Tuzo za mwaka huu ni: Best Male Model, Best Female Model, Best East African Model (Mpya), Designer of the Year, East African Designer of the

Wimbo wa Maombolezo: Tunda Man ft. Mirror & Raymond - R.I.P Sharomilioner

CPWAA NEW TRACKS LISTEN THEM AND DOWNLOAD

WANANCHI MARA WAILALAMIKIA SERIKALI KUTOWEKEZA KATIKA ELIMU YA JUU

Image
Na Mwandishi wa Mwana wa Afrika MUSOMA WANANCHI Mbalimbali mkoani Mara wameilalamikiaSerikali kwa kutowekeza katika elimu ya juu katika mkoa huu wa Kihistoria hapa nchini.   Wakiongea kwa Nyakati tofauti na mwandishi wa habari hii,wananchi hao walisema kuwa msimu huu kwasasa ni msimu wa wanafunzi kumaliza Shahada zao na shahada za juu lakini kwa Mkoa wa Mara hakuna kitu kama hicho kinachoonekana hapa.   Walisema kuwa kutokuwepo kwa vyuo vinavyotoa elimu ya Juu hapa MKoani Mara husababisha hata suala la Maendeleo linakuwa la kusuasua kutokana na eneo kubwa kutokuwa na Wasomi wa kutosha.     “Kiukweli hili ni tatizo la Serikali kwani mkoa huu hakuna chuo kinachotoa Elimu ya Juu hivyo wasomi hakuna na kutokuwepo kwa Wasomi ni tabu maana Jamii itabaki katika mawazo Mgando” alisema Mzee Magesa John mtumishi mstaafu.   Mzee Magesa alisema kuwa Mikoa mingi Tanzania yenye vyuo vinavyotoa Elimu ya juu imekuwa na Mwamko mkubwa wa Jamii katika suala la Maendeleo tofauti n

BONGO ALL STAR KATIKA WIMBO WA REST IN PEACE SHARO

hii ni ngoma ambayo imefanywa na producer monagangstar waliofanya hii ngoma ni DOGO JANJA,PNC KUTOKA MTANASHATI/.OSTAZ JUMA NAMUSOMA) ,STAMINA,COUNTRY BOY MTU CHEE,NAY WA MITEGO,SAPRANO,SUMA MNAZALETI,ELLY NIZO,BRIGHT,MAKOMANDO WAZEE WA KIBEGA,N,K

SWAHILI FASHION WEEK 2012 OFFICIALLY LAUNCHED

Image
Swahili Fashion Week, East and Central Africa largest fashion event, now in its fifth year, will be held at The Golden Tulip Hotel  on the 6th, 7th and 8th December 2012 in Dar Es Salaam, Tanzania. Swahili Fashion Week 2012 will collectively bring together over 50 stakeholders from the fashion industry from Swahili speaking countries and beyond to showcase their creativity and forecast future fashion trends for the region. “This year we have grown tremendously as we have 23 established Tanzanian designers, and the rest from outside Tanzania, who will showcase their work on this platform apart from the 16 designers who showcased during the Nairobi showcase on October 6 in Kenya” stated Swahili Fashion Week Manager Washington Benbella In addition to the Fashion Show presentations, Swahili Fashion Week Shopping Festival which was incorporated in year 2010 will once again be the main feature bringing more than 30 exhibitors under one roof thus making it the largest shoppi