LEO SIKU YA UKIMWI DUNIANI

Leo dunia yote inadhimisha siku ya ukimwi duniani ambayo ufanyika kila tarehe 1/12 katika kuwakumbusha watu uwepo wa ugonjwa huu na kuwapa watu elimu juu ya kujizuia na maambukizi mapya.

Blog hii inapenda kuwakumbusha watu wote kuwa makini na kuchukua hatua madhubuti za kuweza kujikinga na maambukizo ya virusi hivi ambavyo ni hatari ambapo mpaka leo dunia haijapata uvumbuzi wa dawa yake wala chanjo Pia waliokatika matumizi ya dawa za kupunguza makali basi wafuate masharti yote wanayoambiwa na madaktari.

Pia tutumie siku hii ya leo katika kuwakumbuka ndugu zetu waliotangulia mbele ya haki kwa sababu ya gonjwa hili na kuwaombea ndugu na jamaa zetu ambao wameadhilika.

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA