Posts

MESSI AGAIN

Image
. Jumatatu ya january 7 2013 Mchezaji wa Barcelona Lionel Messi ametangazwa mshindi wa tuzo ya Ballon D’or kwa mara ya nne na kumpiga chini   Cristiano Ronaldo  na Iniesta ambapo sasa hivi Messi ndio mchezaji pekee alieishinda hiyo tuzo ya mchezaji bora wa dunia mara nne. Toka amejiunga na club ya Barcelona 2004, mpaka sasa Messi ameifungia magoli 207 na timu yake ya taifa Argentina ameifungia magoli 44 toka ajiunge nayo U20 mwaka 2004.

JKT kutangaza vijana 5,000 watakaojiunga kwa mujibu wa sheria

Image
JESHI la Kujenga Taifa (JKT), wiki ijayo litatangaza majina ya vijana 5,000 waliohitimu kidato cha sita watakaojiunga na jeshi hilo kwa mujibu wa sheria kuanzia Machi, mwaka huu. Huo ni utekelezaji wa ahadi ya Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Shamsi Vuai Nahodha aliyoitoa wakati akiwasilisha Bajeti ya wizara yake, Julai 2012 bungeni Dodoma.  Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Shamsi Vuai Nahodha  Alisema mafunzo hayo yamerejeshwa na yataanza kwa vijana wa Tanzania watakaomaliza kidato cha sita. Utaratibu wa mafunzo ya JKT kwa mujibu wa sheria ulisimamishwa tangu mwaka 1994. Baadhi ya vijana jana walionekana wakiwa Makao Makuu ya JKT, Mlalakuwa Dar es Salaam, wakitaka kufahamu kama wamechaguliwa kujiunga na jeshi hilo. Hata hivyo, ofisa mmoja mwandamizi wa JKT ambaye hakutaka jina lake liandikwe alisema majina ya vijana hao yatatangazwa kuanzia wiki ijayo kwenye vyombo mbalimbali vya habari. “Wasiwe na wasiwasi wiki ijayo kila kitu kitajulikana, majina ya

Majina ya waliofariki kwenye ajali ya boti ziwa Tanganyika Januari 2013

IMETHIBITIKA kuwa watu tisa wamekufa na wengine 12 hawajulikani waliko huku wengine 64 wakiokolewa baada ya boti ya abiria waliyokuwa wakisafiria katika Ziwa Tanganyika kuzama baada ya kukumbwa na dhoruba. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kigoma, Fraiser Kashai aliyekwenda eneo la tukio, alithibitisha jana kwamba boti hiyo iitwayo  Tunusuru Yarabi  iliyokuwa ikitoka Kirando, Rukwa kwenda Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kupitia Rumonge, Burundi, ilikuwa na shehena ya dagaa, vyakula na bidhaa za viwandani. Kamanda Kashai alisema hadi jana mchana miili ya watu wanane kati ya tisa iliyokuwa imeopolewa ilikuwa imetambuliwa na kati yao, saba ikiwa ya wanawake na miwili ya watoto wa kiume ambayo imehifadhiwa katika hospitali ya mkoa ya Maweni. Aliwataja marehemu hao kuwa ni:  Shani Baba wa Kirand, Mzinga Kandoro , Mwalimu wa Shule ya Msingi Filbert Bayi ya Dar es Salaam,  Wamjini  kutoka Burundi na  Sarah Joseph  wa Karundu, Nkasi, Rukwa. Wengine ni  Nuru Hassan  wa Kirando, Rukwa; 

REGISTRATION FORM YA KUSHIRIKI MUN MKOANI MWANZA KWA MEMBERS WA YUNA INAPATIKANA HAPA

Kwa wale members wote wa YUNA waliopo sekondari na chapter mbalimbali vyuoni wanaotaka kushiriki katika Model United Nation (MUN) mkoani Mwanza,application form zinapatkana online ni kujaza na kuituma kwa njia ya E-mail mwisho wa kutuma ni tarehe 7/1/2013 saa 5:59 Usiku. Gharama ya kujiandikisha ni Tsh. 5000 tu. CLICK LINK HII KUPATA FORM, IKISHAFUNGUKA CLICK DOWNLOAD BUTTON YA CHINI KABISA AMBAYO NI NDOGO KUPAKUWA FORM HII YA MUN http://www.2shared.com/document/Dws--Kep/Mwanza_R-MUN_Application_2013.html

KESHO YA DIAMOND....HII VIDEO NI KALI

Image

VICHWA VYA MAGAZETI LEO JANUARY 2

Image
. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

R.I.P SAJUKI

Image
Msanii Juma Kilowoko (SAJUKI)amefariki dunia leo alfajiri katika hospitali ya Taifa Muhimbili.  Kwa mujibu wa Katibu wa chama cha waongoza Filamu Wilaya ya Ilala,Rajabu Amiri hivi karibuni Sajuki alikuwa  anasumbuliwa na tatizo la upungufu wa damu. PUMZIKA KWA AMANI KAKA WOTE TU WASAFIRI HAPA DUNIANI.

REST IN PEACE JML.

Image
Marehemu Joachim Munga Lugulu enzi za uhai wake, kabla ya mauti kumkuta aliwahi kuwa mtangazaji wa Kiss Fm Mwanza, HOT FM ya Iringa, kabla ya kuelekea jijini Dar es salaam ambako akikuwa akisoma Open University.

VICHWA VYA MAGAZETI LEO JUMAPILI DEC,30

Image
. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .