MESSI AGAIN


.
Jumatatu ya january 7 2013 Mchezaji wa Barcelona Lionel Messi ametangazwa mshindi wa tuzo ya Ballon D’or kwa mara ya nne na kumpiga chini  Cristiano Ronaldo na Iniesta ambapo sasa hivi Messi ndio mchezaji pekee alieishinda hiyo tuzo ya mchezaji bora wa dunia mara nne.
Toka amejiunga na club ya Barcelona 2004, mpaka sasa Messi ameifungia magoli 207 na timu yake ya taifa Argentina ameifungia magoli 44 toka ajiunge nayo U20 mwaka 2004.

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA