Posts

VICHWA VYA MAGAZETI YA LEO TAREHE 10, JAN

Image
. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

MAGAZETI YA LEO JAN, 9

Image

GARI LA BUNDA EXPRESS KUTOKA MUSOMA KUELEKEA MWANZA YAPATA AJALI

kutoka katika blog ya gsengo anasema hivi "Eneo la katikati ya Lugeye na Nyanguge basi la abiria la 'Bunda express" lenye namba za usajili T782BKZ likitokea Musoma kuelekea jijini Mwanza muda wa saa mbili asubuhi hii limepata ajali mbaya kwenye eneo hilo, mazingira yanaonesha kuwa idadi kubwa ya watu wamekutwa na umauti na wengine kuwa majeruhi kwani gari tairi ziko juu limetumbukia majarubani, limepondeka vibaya upande mmoja, na tayari katika muda huu napita eneo la tukio miili ya watu wawili imeonekana ikizagaa nje ya basi kandokando ya barabara na mvua kubwa inaendelea kunyesha. Chanzo cha ajali  ni mwendo kasi, watoto wakiwa na mama zao wanalia tu wakihitaji msaada, maji yamejaa hadi barabarani".

The 10 Steps Of Crisis Communications

By Jonathan Bernstein Crisis:  Any situation that is threatening or could threaten to harm people or property, seriously interrupt business, damage reputation or negatively impact share value. Every organization is vulnerable to crises. The days of playing ostrich are gone. You can play, but your stakeholders will not be understanding or forgiving because they've watched what happened with Bridgestone-Firestone, Bill Clinton, Arthur Andersen, Enron, Worldcom, 9-11, The Asian Tsunami Disaster, Hurricane Katrina and Virginia Tech. If you don't prepare, you WILL take more damage. And when I look at existing "crisis management" plans while conducting a "crisis document audit," what I often find is a failure to address the many communications issues related to crisis/disaster response. Organizations do not understand that, without adequate communications: Operational response will break down. Stakeholders (internal and external) will not know what is hap

MAMBO YA VING'AMUZI

Image
TANGAZO! kwa wasio na VING'AMUZI majumbani mwao! Tunaonyesha vipindi vifuatavyo na gharama zake kama ifuatavyo:  1- Taarifa ya Habari Tshs 250/=  2- Tamthilia ya ITV&STAR-TV Tshs 400/=  3- SPORTS BAR Tsh 300/=  4- WATOTO SHOW Tshs 150/=  5- CARTOON Tsh 200/= Tafadhali ukija uje na pesa kamili, hatuna chenji. PS: Pia uje na mfuko wa kuwekea NDALA zako. *Ujumbe ulioandikwa hapo juu ni utani, hauna ukweli wala maana yoyote zaidi ya kuchokoza tabasamu...! Tufurahi. http://www.wavuti.com/#ixzz2HNT8ZAXK

MAGAZETI YA LEO JAN,8

Image
. . . . . . . . . . . . . . . . . . . .