MAMBO YA VING'AMUZI


TANGAZO! kwa wasio na VING'AMUZI majumbani mwao!

Tunaonyesha vipindi vifuatavyo na gharama zake kama ifuatavyo:

 1- Taarifa ya Habari Tshs 250/=
 2- Tamthilia ya ITV&STAR-TV Tshs 400/=
 3- SPORTS BAR Tsh 300/=
 4- WATOTO SHOW Tshs 150/=
 5- CARTOON Tsh 200/=

Tafadhali ukija uje na pesa kamili, hatuna chenji.

PS: Pia uje na mfuko wa kuwekea NDALA zako.
Picture
*Ujumbe ulioandikwa hapo juu ni utani, hauna ukweli wala maana yoyote zaidi ya kuchokoza tabasamu...! Tufurahi.

http://www.wavuti.com/#ixzz2HNT8ZAXK

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA