Posts

VICHWA VYA MAGAZETI LEO IJUMAA FEB, 15

Image
. . . .. . .. . . . . . . . . . . . .

MAGAZETI LEO FEB 13

Image
. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

JIJI LA DAR ES SALAAM WAKATI WA USIKU

Image
  (photo: Mtaa kwa Mtaa blog) (photo: Mtaa kwa Mtaa blog) Source:  http://www.wavuti.com/#ixzz2KiLaqHWa

HII NI PAGE YA NECTA FAKE ILIYOPO FACEBOOK

Image
Hii page feki ya NECTA ina watu zaidi ya elfu 11. IMEKUWA IKITOA TAARIFA AMBAZO SIO ZA KWELI Upotoshaji umeanzia kwenye page feki ya facebook ambayo inaendeshwa na watu wanaojifanya ni Necta, ni page ambayo imekua ikitoa habari za uongo kama unavyoiona hapo juu. John Nchimbi msemaji wa NECTA amesema “matokeo ya kidato cha nne hayajatoka bado lakini yakiwa tayari Katibu Mtendaji ataita waandishi na yatawekwa kwenye mtandao wa NECTA, kuna watu wametoa hizo habari kwenye facebook na wanatumia nembo ya baraza la mitihani lakini  NECTA hawana ukurasa wa facebook, hiyo taarifa sio ya ukweli na wala haina uhusiano wowote na baraza la mitihani, matokeo yatatoka kabla ya mwishoni mwa february 2013″

download nyimbo ya Dayna ft Mr. Blue inaitwa LEO

SWAHILI FASHION WEEK KUFANYA ONYESHO LA MITINDO ZANZIBAR WABUNIFU ZAIDI YA KUMI KUONYESHA UBUNIFU WAO KATIKA JUKWAA MOJA KUFANYIKA IJUMAA YA TAREHE 15/O2/2013, MBWENI RUINS

Image
Onyesho kubwa la mavazi Afrika Mashariki na kati la Swahili Fashion Week, limepanga kufanya onyesho kubwa visiwani Zanzibar katika Hoteli ya Mbweni Ruins siku ya Ijumaa ya tarehe 15/02/2013 ambapo wabunifu nguli kutoka Tanzania bara na Visiwani wamethibitisha kwa shauku na hamu kubwa ya kuacha kumbukumbu  nzuri ndani ya usiku huo wa onyesho la mitindo katika visiwa hivyo vya marashi ya karafuu. Tukio hili la Swahili Fashion Week Zanzibar litawaleta kwa pamoja zaidi ya wabunifu kumi kutoka ndani ya nchi kuonyesha ubunifu na umahiri wao katika tasnia ya sanaa ya ubunifu na kuongeza kasi ya maendeleo ya tasnia ya mitindo nchini Tanzania huku ikitangaza dhana nzima ya kujali vitu vinavyotengenezwa Afrika (Promote Made in Africa Concept) “Maandalizi yameshika kasi, tuko tayari kupeleka ladha ya Swahili Fashion Week katika visiwa vya Zanzibar, Kama inavyofahamika kwamba watu wengi watakuwa visiwani humo kufuatilia Sauti za Busara, huu ni mwezi wa burudani na vitu vizuri kwa wat

The 5 richest “Bongo Flavour” artistes

Image
When it comes to money, Bongo music is one of the most lucrative but you’d never tell that listening to the artistes pour their hearts out for their loved ones. Bongo Flavour acts rake in the money in truck loads and they don’t spend it on bling only, they invest their money. Sylvia Ambani and Herieth Makwetta looked at some of the richest acts in Tanzania. NASEEB ABDUL (DIAMOND) He stayed in the shadows for long looking for a break but now that the limelight has been trained on him, he has proved that he belongs at the top of the music charts. He finally made a debut in 2009 with his hit song “ Kamwambie ”. He is one of the most expensive musicians not just in Tanzania but the region and this does not seem to put promoters off as he is on the stage on a weekly basis. Want him for a show, you will have to pay him $4000 (Sh350,000). And that’s after a bargain. This has enabled him to make a fortune for himself in a very short period of time. He owns mansions in Tanzania, acr

THANKS GOD NIMEMALIZA MITIHANI YA SEMISTER YA 1

Napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuweza kunisimamia na kunipa afya njema katika kipindi chote nilipokuwa nafanya mitihani yangu ya chuo. Mitihani ilikua na changamoto yake kwani haikuwa mirahisi, ilinifanya hata wakati mwingine nikate tamaa hasa nilipokuwa nikitoka katika pepa ambayo ilikuwa ngumu kwangu, lakini yote namwachia Mungu hasa kwenye majibu pindi yatakapotoka kama msemo wa kiswahili usemavyo utavuna ulichokipanda. Libeneke linaendelea sasa kwa kuwa nishakuwa free na kuweza kupata muda wa  kuweza kutupia taarifa kibao,twendelee kupeana support.

Waziri wa Habari, Vijana ,Utamaduni na MichezoDkt. Fenella Mukangara Afungua mkutano wa maafisa Habari, Elimu na Mawasiliano wa serikali mjini Dodoma

Image
 Waziri wa Habari, Vijana ,Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara akifungua mkutano wa maafisa Habari, Elimu na Mawasiliano wa serikali mjini Dodoma. Pamoja na mambo mengine amewataka kufanya kazi   kwa kuzingatia weledi na kutoa taarifa sahihi kwa umma mara kwa mara kuhusu shughuli mbalimbali zinazofanywa na serikali.  Afisa Habari wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali  Sarah Reuben akichangia moja ya mada katika kikao kazi cha Maafisa Habari, Elimu na Mawasiliano wa Serikali mjini Dodoma.  Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga akizungumza na Maafisa Mawasiliano wa Serikali wakati wa Kikao kazi hicho mjini Dodoma.  Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Bw. Assah Mwambene akiwasilisha mada kuhusu Mtazamo mpya wa Mawasiliano katika Vitengo vya Mawasiliano Serikalini wakati wa kikao kazi cha Maafisa Habari, Elimu na Mawasiliano wa Serikali mjini Dodoma.  Mmiliki na muendeshaji wa mtandao wahabari

MAGAZETINI LEO 2, FEBRUARY, 2013

Image