THANKS GOD NIMEMALIZA MITIHANI YA SEMISTER YA 1

Napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuweza kunisimamia na kunipa afya njema katika kipindi chote nilipokuwa nafanya mitihani yangu ya chuo.

Mitihani ilikua na changamoto yake kwani haikuwa mirahisi, ilinifanya hata wakati mwingine nikate tamaa hasa nilipokuwa nikitoka katika pepa ambayo ilikuwa ngumu kwangu, lakini yote namwachia Mungu hasa kwenye majibu pindi yatakapotoka kama msemo wa kiswahili usemavyo utavuna ulichokipanda.

Libeneke linaendelea sasa kwa kuwa nishakuwa free na kuweza kupata muda wa  kuweza kutupia taarifa kibao,twendelee kupeana support.

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA