Posts

HARUSI TRADE FAIR SASA YAFIKISHA MIAKA MINNE

Image
Mustafa Hassanali akizungumza na wandishi wa habari , kushoto kwake ni meneja wa biashara wa Harusi Trade Fair Hamis Omary Biashara ya Harusi Watu wengi zaidi wahamasishwa kushiriki na kutembelea Maandalizi  ya Harusi Trade Fair 2013 yapamba moto, Maonyesho hayo ya wafanyabiasharas wa bidhaa na huduma za harusi yanatarajiwa kuanza tarehe 21 machi hadi tarehe 23 machi katika viwanja vya ukumbi wa pathenon uliopo mkabala na Red Cross barabara ya Ali Hassan Mwinyi Upanga Dar es salaam. Muanzilishi na muandaaji wa Harusi Trade fair Mustafa Hassanali amesema ikiwa ni mwaka wake wanne maonesho haya yamekuwa na kuongezeka ubora ukilinganisha na miaka iliyopita halikadhalika tunatarajia kuona mabadiliko kwenye tasnia ya Harusi na washikadau wake. Mwaka huu Harusi Trade Fair tayari imeshawavuta washiriki wengi wengi wao ni washirikia ambao wapo toka kuanziswha kwa maonyesho haya mwaka 2010. Maonesho hayo yatakayodumu kwa muda wa siku tatu yatakuwa yakianza saa 4;0

MAGAZETI YA LEO MARCH 14

Image
. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

SAFARI LAGER NYAMA CHOMA MWANZA FINAL JUMAPILI HII

Image

PRESIDENT KIKWETE OPENS THE THE AFRICAN CONFERENCE ON THE STRATEGIC IMPORTANCE OF INTELLECTUAL PROPERTY (IP) POLICIES

Image
President Dr Jakaya Mrisho Kikwete chats with Dr. Francis Gurry, Director General of the World Intellectual Property Organization (WIPO) moments before opening the African Conference on the Strategic Importance of Intellectual Property Policies to Foster Innovation, Value Creation and Competitiveness at the Hyatt Regency Kilimanjaro hotel in Dar es salaam today March 12, 2013.     President Dr Jakaya Mrisho Kikwete poses with Dr. Francis Gurry, Director General of the World Intellectual Property Organization (WIPO),  Dr. Abdallah Kigoda, Tanzania’s Minister for Industry and Trade (right),  Mr. Bruno Jean Richard Ihua, Chairman African Ministers Council on Science and Technology  (second right) and   Mr. Elberic Kacou, UN Resident Coordinator (left)  moments before opening the African Conference on the Strategic Importance of Intellectual Property Policies to Foster Innovation, Value Creation and Competitiveness at the Hyatt Regency Kilimanjaro hotel in Dar es salaam today March 1

WAMILIKI WA VIWANDA NA HOTEL JIJINI MWANZA WATAKIWA KUFANYA UKAGUZI WA MAZINGIRA

Image
Uongozi wa Hotel ya Malaika beach Resort, umetakiwa kufanya ukaguzi wa mazingira katika eneo la hotel hiyo n a kuto repoti ili kuweza kuhepaukana na uharifu wa mazingira utiririshaji wa maji taka,katika ziwa Victoria. Hayo yameelewa leo na Naibu waziri ofisi ya makamu wa rais mh. Charles Kitwanga alipotembelea baadhi ya hotel na viwanda vilivyopo katika wilaya ya Ilemela jijini Mwanza, ili kujione hali halisi ya utunzani wa mazingira. Alipotembelea kiwanda cha Nondo cha Nyakato steel, Mh. Kitwana aliwaasa wamiliki wa kiwanda hicho kutumia njia za kisasa za kuweza kuhepuka kutoa moshi mzito ambao umekuwa ukilalamikiwa na wakazi wa maeno hayo kuwa nyakati za usiku moshi huo huaribu mandhari na hali ya hewa na kuhatarisha afya za wakazi wa karibu na eneo hilo. Aidha wamiliki wa kiwanda hicho pia wameshauriwa,kuwajali wafanyakazi wao kwa kuwapatia vifaa vya usalama kazini ikiwa ni gloves pamoja na mabuti kutokana mazingira wanayofanyia kazi na kutokuziweka afya zao katika mazingir

HUYU BIBI KIBOKO YAO

Image
. Giwa Ayoka Sikirat ni bibi mwenye umri wa miaka 53 ambae amekamatwa na kikosi maalum cha kuzuia dawa za kulevya huko Nigeria akiwa amezificha dawa za kulevya kwenye nywele kichwani na kuzifunika. Alikamatwa kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Abuja akiwa anaelekea Pakistan kwa kupitia Addis Ababa na Dubai ambapo pia aliemsindikiza Uwanja wa ndege amekamatwa, ni Joseph mwenye umri wa miaka 59. Bibi huyo ambae anaonekana jasiri, imefahamika alishawahi kuhudhuria shule ya Fashion na maswala ya nywele huko Lagos mwaka 1994.  SOURCE: www.millardayo.com

Waangalizi wa Kanda Uchaguzi Kenya Wasifia Zoezi Zima

Image
Kinana addresses press on preliminary repoprt 5 March 2013 Na Isaac Mwangi, EANA-Arusha WAANGALIZI  wa Kanda katika uchaguzi mkuu wa Kenya wameonyesha kuukubali mwenendo wa upigaji kura Jumatatu kuwa ulikwenda sawia na kutaka hali hiyo iendelee katika hatua nyingine zilizobaki za uchaguzi huo. Taarifa hiyo imetolewa na Timu ya Pamoja ya Waangalizi wa Kanda kutoka Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Soko la Pamoja la Nchi za Mashariki na Kusini mwa Afrika (COMESA) na Mamlaka ya Maendeleo Afrika (IGAD), Shirika Huru la Habari la Afrika Mashariki (EANA) limeripoti. “Ingawa kulikuwepo na changamoto kadhaa kuhusu uhakiki wa wapiga kura, timu hiyo imehitimisha kwamba uchaguzi mkuu wa 2013 umefikia viwango vya kanda, bara na vya kimataifa kuwa ni wa kuaminika na uwazi,” ilieleza taarifa iliyotolewa Jumanne. Taarifa ya awali ya waangalizi imetathmini hali ya kisiasa kuelekea kwenye uchaguzi,uteuzi wa wagombea uliofanywa na vyama vya siasa, kampeni na nafasi ya wapiga kura na vyomb

VICHWA VYA MAGAZETI LEO JUMAMOSI

Image
. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .