Posts

MH.SAMWEL SITTA APENDEZESHA MAHAFALI YA 3 YA SSPRA

Image
SAMAHANI WAPENZI WA WEBSITE HII KWA SASA UNAWEZA KUTIZAMA JAPO PICHA,TAARIFA KAMILI NA MPANGILIO WA PICHA PAMOJA NA CAPTION ZA PICHA HIZI ZITAANDIKWA BAADAYE KWA SASA NINA KIPINDI

HIVI NDIVYO ILIKUWA USIKU WA HANDOVER PARTY CHUONI SAUT

Image
Picha ya viongozi waliopo na wanaondoka madarakani MH.Rais wa serikali ya wanafunzi SAUT Dovakmwene mwenye suti akiwa na Nyanja Poti aliyekuwa katibu wa wizara ya Habari na Mawasiliano Maafsa Uhusiano wa chuo cha Saut kulia ni Komu living na kushoto ni Francis Moses Mh. David pia alikuwepo MH. Malisa kulia akiwa ameambatana na Makamu pamoja na Waziri mkuu Mh. Baraka ambao wamemaliza muda wao wa Uongozi Kutoka kushoto ni Mh. Nyanja, katikakati ni Mora Wisdom alikuwa waziri wa fedha na kulia ndio rais wa sasa Mh.Dova Mh. Nice Mbelesero aliyekuwa katibu mkuu ofsi ya Rais na Mimi katika picha ya pamoja Aliyekuwa waziri wa Michezo Abubakari maarufu kama akida katika picha ya pamoja na mimi Aidan Kaijanante alikuwa waziri wa Mambo ya Nje katka serikali ya wanafunzi SAUTSO

KATUNI YA LEO................HATARI TUPU

Image
Rais Jakaya Kikwete amekemea vurugu zilizotokea jana mkoani Mtwara baada ya kusomwa bungeni kwa Bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini. Akizungumza katika eneo la Kizota, Dodoma wakati wa kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Barabara ya Dodoma kwenda Iringa, Rais Kikwete alisema rasilimali inayopatikana mahali popote pale nchini inatakiwa kutumiwa na Watanzania wote, “Hivi watu wa Nyarugusu wadai dhahabu ya pale au kinachopatikana Chalinze basi kisitumiwe na watu wa Morogoro! Hivi tutakuwa na taifa kweli?,” alihoji kwa ukali Rais Kikwete. Rais alisema wote waliohusika na vurugu hizo, Serikali itawasaka ikiwa ni pamoja na viongozi wa vurugu hizo na ili kuwawajibishwa: “Tutawasaka hawa watu na viongozi wao hata kama wana mapembe kiasi gani, tutayakata.” Source:  http://www.wavuti.com/#ixzz2U6Em1STi

BUNGE LIMEHAIRISHWA TENA MPAKA KESHO SAA 3 ASUBUHI.

Image
Spika wa Bunge la Tanzania, Mh. Anna Makinda amehairisha Bunge mpaka kesho saa 3 asubuhi ,ili Kamati tofauti za bunge zikajadili kuhusu hali inayoendelea huko mkoani Mtwara

DOWNLOAD NA KUSIKILIZA WIMBO MPYA WA MALFRED- "PIGANA"

HAPPY BIRTHDAY CLASSMATE ONESMO FAUSTINE

Image
wish all da best in ur life bro