HIVI NDIVYO ILIKUWA USIKU WA HANDOVER PARTY CHUONI SAUT
![]() |
Picha ya viongozi waliopo na wanaondoka madarakani |


![]() |
MH.Rais wa serikali ya wanafunzi SAUT Dovakmwene mwenye suti akiwa na Nyanja Poti aliyekuwa katibu wa wizara ya Habari na Mawasiliano |
![]() |
Maafsa Uhusiano wa chuo cha Saut kulia ni Komu living na kushoto ni Francis Moses |
![]() |
Mh. David pia alikuwepo |
![]() |
MH. Malisa kulia akiwa ameambatana na Makamu pamoja na Waziri mkuu Mh. Baraka ambao wamemaliza muda wao wa Uongozi |
![]() |
Kutoka kushoto ni Mh. Nyanja, katikakati ni Mora Wisdom alikuwa waziri wa fedha na kulia ndio rais wa sasa Mh.Dova |
![]() |
Mh. Nice Mbelesero aliyekuwa katibu mkuu ofsi ya Rais na Mimi katika picha ya pamoja |
![]() |
Aliyekuwa waziri wa Michezo Abubakari maarufu kama akida katika picha ya pamoja na mimi |
![]() |
Aidan Kaijanante alikuwa waziri wa Mambo ya Nje katka serikali ya wanafunzi SAUTSO |
Comments
Post a Comment