Posts

MKUU WA MKOA WA MWANZA AFUNGUA KAMPENI YA USAFI JIJINI MWANZA

Image
Mkuu wa mkoa wa Mwanza Mh.Evarist Ndikiro amefungua rasmi kampeni ya kuweka jiji la Mwanza katika hali ya usafi akishirikiana kwa ukaribu kabisa na Meya wa jiji la Mwanza Mh.Stanslaus Mabula, kampeni hii imeandaliwa na Halmashauri ya jiji la Mwanza ikishirikiana kwa ukaribu kabisa na chuo kikuu cha mtakatifu Agustino (SAUT) kilichopo jijini hapa. Kampeni hii inalengo la kutoa elimu na kuhamasisha jamii juu ya umuhimu wa kuliweka jiji la Mwanza katika hali ya usafi, kampeni hii imekuwa na kauli mbiu hii  "Pamoja Tuliweke Jiji letu safi " Mkuu wa mkoa wa mwanza MH.Evarist Ndikiro akiwa na baadhi ya viongozi wengine wa jiji la Mwanza katika kuzindua kampeni ya usafi leo katika jiji la mwanza. Wa pili kutoka kushoto ni Meya wa jiji la Mwanza Stanslaus  Mabula pamoja na mkuu wa mkoa wa Mwanza Evarist Ndikiro katika kampeni ya usafi. Mkuu wa mkoa wa mwanza mh.Evaristi Ndikiro akifanya usafi wa jiji la mwanza leo. Wa pili kutoka kushoto ni meya wa jiji la mw

Top 20 World Most Beautiful Living Spaces

Image
The Heinz Julen Penthouse in Zermatt, Switzerland The Clock Tower Apartment in Brooklyn, NY The Yellowstone Club in Big Sky, Montana The Firefly ski chalet in Zermatt, Switzerland Resort in St. Lucia Chalet Brickell in the Rhone-Alpes, France Converted cathedral The Over Water Bungalow at Le Meridien in Bora Bora The Igloo Village in Kakslauttanen, Finland The Ladera Resort in St. Lucia Resort The Underwater bedroom in the Maldives The Garden House in Brazil The Pretty Beach House on the Bouddi Peninsula in Australia Jade Mountain in St. Lucia The Southern Ocean Lodge on Kangaroo Island in Australia The Tree House in Costa Rica The Redwood grove cabin in California The Royal Loft Suite aboard the Oasis of the Seas The Chalet Zermatt Peak in Switzerland The One Room Glass Iglo House

ANGALIA MATOKEO YA KIDATO CHA SITA KWA URAHISI HAPA

                                             MATOKEO YA KIDATO CHA SITA BOFYA HAPA

TIZAMA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE KWA URAHISI KABISA

BOFYA HAPA

DOWNLOAD OPEN LETTER FROM MANGWAIR - MSWAKI FT. UNICE

Sikiliza/download wimbo mpya wa maombolezo – “R.I.P Brother Ngwair”

Image
Nyimbo maalum, by Mozeh Thomas & Mirror Rhymes, ya kuomboleza kifo cha msanii wa Bongo flava, Albert Mangwea aka Ngwair, aliyefariki jana nchini Afrika kusini. Song: R.I.P Brother Ngwair Artists: Mozeh Thomas & Mirror Rhymes Studio: Overclassic Music Producer: Eizer Unaweza kusikiliza au download hapa chini

WIMBO HUU WA NGWEAR "MASKINI WENZANGU" NI FUNDISHO NA UJUMBE TOSHA KWA VIONGOZI WETU