Sikiliza/download wimbo mpya wa maombolezo – “R.I.P Brother Ngwair”
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Nyimbo
maalum, by Mozeh Thomas & Mirror Rhymes, ya kuomboleza kifo cha
msanii wa Bongo flava, Albert Mangwea aka Ngwair, aliyefariki jana
nchini Afrika kusini.
Song: R.I.P Brother Ngwair
Artists: Mozeh Thomas & Mirror Rhymes
Studio: Overclassic Music
Producer: Eizer
Unaweza kusikiliza au download hapa chini
Chukua japo dakika 10 za kusoma kitabu cha mwanamalundi, mtu maarufu aliyewahi kutokea katika historia ya kabila la kisukuma, hizi ni picha nilizozitoa katika kitabu hicho chenye karatasi kama 7, ni mojawapo ya kitabu nilichotamani kukisoma kupata ukweli juu ya mtu huyu, kwa bahati nzuri nimekikuta kwa mama yangu mkubwa katika kabati lake la vitabu, hivyo nikaona sio mbaya nikiweza kushare na marafiki zangu ambao nao wanatamani kujua historia ya mtu huyu maarufu kuwahi kutokea hapa Tanzania.
Comments
Post a Comment