MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA (TCRA) KANDA YA MASHARIKI WATOA SEMINA YA MAWASILIANO KWA WADAU WAO KATIKA WILAYA YA BAGAMOYO
Mkurugenzi wa Huduma za Mawasiliano wa TCRA, Dk.Raynold Mfungahema,akionyeshwa na Rajabu Husein ujumbe kwenye simu yake wakati alipokuwa akitoa mada ya haki na wajibu wa watumiaji wa huduma za mawasiliano katika semina ya watumiaji wa huduma za Mawasiliano (wadau) iliyowashirikisha wakazi wa Wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani.Semina hiyo iliandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania Kanda ya Mashariki Mkurugenzi wa Huduma za Mawasiliano wa TCRA, Dk.Raynold Mfungahema,akimsikiliza mmoja wa wanasemina waliohudhuria katika semina ya watumiaji wa huduma za Mawasiliano (wadau) iliyowalenga wawakilishi ,jumuiya mbalimbali za vijiji na vitongoji vyaWilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani.Semina hiyo iliandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania Kanda ya Mashariki. Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Ahmedi Kipozi akisalimiana na Ramadhan Said wakati wa uzinduzi rasmi wa semina ya wadau wa huduma za Mawasiliano iliyowalenga wawakilishi wa jumuiya mbalimb