Skip to main content
MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA (TCRA) KANDA YA MASHARIKI WATOA SEMINA YA MAWASILIANO KWA WADAU WAO KATIKA WILAYA YA BAGAMOYO
Mkurugenzi wa Huduma za Mawasiliano wa TCRA, Dk.Raynold Mfungahema,akionyeshwa na Rajabu Husein ujumbe kwenye simu yake wakati alipokuwa akitoa mada ya haki na wajibu wa watumiaji wa huduma za mawasiliano katika semina ya
watumiaji wa huduma za Mawasiliano (wadau) iliyowashirikisha wakazi wa
Wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani.Semina hiyo iliandaliwa na Mamlaka ya
Mawasiliano Tanzania Kanda ya Mashariki
Mkurugenzi wa Huduma za Mawasiliano wa TCRA, Dk.Raynold Mfungahema,akimsikiliza mmoja wa wanasemina waliohudhuria katika semina ya watumiaji wa huduma za Mawasiliano (wadau) iliyowalenga wawakilishi
,jumuiya mbalimbali za vijiji na vitongoji vyaWilaya ya Bagamoyo Mkoani
Pwani.Semina hiyo iliandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania Kanda
ya Mashariki.
Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Ahmedi Kipozi akisalimiana na Ramadhan Said wakati wa uzinduzi rasmi wa semina ya wadau wa huduma za Mawasiliano iliyowalenga
wawakilishi wa jumuiya mbalimbali za vijiji na vitongoji vya Wilaya ya
Bagamoyo Mkoani Pwani.semina hiyo ilialiandaliwa na Mamlaka ya
Mawasiliano Tanzanizi(TCRA ) Kanda ya Mashariki.
Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Ahmedi Kipozi akisalimiana na Ramadhan Said wakati wa uzinduzi rasmi wa semina ya wadau wa huduma za Mawasiliano iliyowalenga
wawakilishi wa jumuiya mbalimbali za vijiji na vitongoji vya Wilaya ya
Bagamoyo Mkoani Pwani.semina hiyo ilialiandaliwa na Mamlaka ya
Mawasiliano Tanzanizi(TCRA ) Kanda ya Mashariki
Mkurugenzi wa Huduma za Mawasiliano Dk.Raynold Mfungahema akitoa mada ya Haki na wajibu wa watumiaji wa huduma za mawasiliano wakati
wa semina ya watumiaji wa huduma za mawasiliano iliyofanyika katika
chuo cha sanaa cha Bagamoyo kwa kuwashilikisha wawakilishi wa jumuiya
mbalimbali za vijiji na vitongoji vya Wilaya ya hiyo.
Meneja wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Mashariki Mhandisi Oscar Mwanjesa akimkabidhi zawadi ya simu Mwanahamisi Muhamed baada ya kujishindia wakati wa semina ya watumiaji wa Mawasiliano (wadau)
iliyowashirikisha wakazi wa Wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani.Semina hiyo
iliandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania Kanda ya Mashariki.
Meneja wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Mashariki Mhandisi Oscar Mwanjesa akimkabidhi zawadi ya simu Ramadhani Said (76) baada ya kushinda kujibu swali wakati
wa semina ya watumiaji wa huduma za Mawasiliano (wadau)
iliyowashirikisha wakazi wa Wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani.Semina hiyo
iliandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania Kanda ya Mashariki.
Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Ahamed Kibozi (kushoto)akifuatilia mada ya Haki na wajibu wa watumiaji wa huduma za mawasiliano pamoja
na wanasemina wenzake katika ukumbi wa chuo cha sanaa Bagamoyo
iliyokuwa aikitolewa na Mkurugenzi wa Huduma za Mawasiliano Dk.Raynold
Mfungahema hayupo pichani. Wakati wa semina iliyowalenga wadau wa huduma
za Mawasiliano, wawakilishi wa jumuiya mbalimbali za vijiji na
vitongoji vya Wilaya ya Bagamoyo.
Baadhi ya washiriki wa semina ya wadau wa huduma za Mawasiliano iliyowalenga
wawakilishi wa jumuiya mbalimbali za vijiji na vitongoji vya Wilaya ya
Bagamoyo Mkoani Pwani.aliyoandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano
Tanzanizi(TCRA ) Kanda ya Mashariki wakiwakatika foleni ya kujiandikisha wakati wakuingia katika semina hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa chuo cha sanaa bagamoyo.
Mwahamisi Rajabu akiwa na wenzake katika semina ya wadau wa huduma za Mawasiliano iliyowalenga
wawakilishi wa jumuiya mbalimbali za vijiji na vitongoji vya Wilaya ya
Bagamoyo Mkoani Pwani.aliyoandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano
Tanzanizi(TCRA ) Kanda ya Mashariki wakiwakatika foleni ya kujiandikisha wakati wakuingia katika semina hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa chuo cha sanaa Bagamoyo.
Mhasibu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)Patrice Lumumba akitao zawadi ya simu kwa mmoja wa wasshiriki wa semina ya wadau wa huduma za Mawasiliano iliyowalenga
wawakilishi wa jumuiya mbalimbali za vijiji na vitongoji vya Wilaya ya
Bagamoyo Mkoani Pwani.aliyoandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano
Tanzanizi(TCRA ) Kanda ya Mashariki hivi karibuni.
Kaimu Mkurugenzi wa Utangazaji wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Fredrick Ntobi akitoa mada inayohusiana na utangazaji wakati Semina ya wadau wa huduma za Mawasiliano iliyowalenga
wawakilishi wa jumuiya mbalimbali za vijiji na vitongoji vya Wilaya ya
Bagamoyo Mkoani Pwani.aliyoandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano
Tanzanizi(TCRA ) Kanda ya Mashariki hivi karibuni.
Comments
Post a Comment