BINADAMU MWENYE UMRI MKUBWA DUNIANI AMEFARIKI AKIWA NA MIAKA 116


Jiroemon Kimura wa Japan  ndiye binadamu
 aliyeaminika kuwa ana umri mkubwa kuliko
 yeyote duniani,amekufa akiwa na mri wa miaka 116
Aliwahi kuulizwa ni  nini siri ya mafanikio
yake raia huyo wa Japan alisema ni
kula chakula kidogo au kwa kiasi .
Kwa mujibu wa kitabu cha Guinness
ni mtu wa kwanza kufariki akiwa na
umri wa miaka 116.
Sasa binadamu mwenye umri
mkubwa kuliko wote ni raia
mwingine wa Japan Misao Okawa,
wa Osaka.
Jiroemon Kimura alizaliwa 19 april 1897 na 
amefariki 11 june 2013.

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA