Posts

TUJIKUMBUSHE KWA KUSIKILIZA HII INTERVIEW YA Malcolm X: (1960-65)

WEBSITE IKO KATIKA MATENGENEZO

Kwanza kabisa napenda kutoa shukurani zangu za dhati kwa wale wote wanaofatilia habari mbalimbali kupitia katika website hii, nimekuwa kimya sana kutoa habari kwa kuwa nilikuwa busy na shule, lkn kwa sasa shule imekwisha nimerudi javini. Kwa sasa website hii itakuwa ikifanyiwa matengenezo ya hapa na pale kwa ajili ya kuiboresha zaidi na kuiweka katika mwonekano mzuri wa kuvutia,hivyo inaweza kutokea hali yoyote ile ya vitu kuto kuonekana vizur. Twendelee kupeana support.

MAGAZETI YA LEO JULY,18

Image
. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

Top 10 Richest Countries in the World in 2013

10. Kuwait Kuwait, one the most prosperous countries of Asia, holds the 10th position on the list of top 10 richest countries of the world. Owing to her stable economic conditions, Kuwait is home for best and encouraging economic future for those who are determined to work hard in highly competitive conditions. Moreover, Kuwait offers employment opportunities  to the millions of overseas as well. The current GDP rate of this country is $43,846.72. 9. Switzerland This land of international diplomatic activities also enjoys stable and promising economic conditions which significantly contribute towards improving the economic prosperity if its  inhabitants . Switzerland is largely famous for its banking services all around the globe. The current GDP rate of Switzerland, i.e. $45,285.8, helps it to secure the ninth position on the list of top 10 richest countries of the world. 8. United Arab Emirates United Arab Emirates have witnessed revolutionary economic developments in la

Angalia wimbo wa Kadgo Ft. Young Killer-Zingatia, chini ya Director Kinye

JUMBO SMS IS READY TO HELP YOU!

Image

ANGALIA HII VIDEO YA P-Square - Personally

Obama ametaja vipaumbele vinne vya Marekani kwa Tanzania,

Image
Rais Barack Obama akikagua gwaride lililoandaliwa kwa heshima yake baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam jana.Picha na Emmanuel Herman   Dar es Salaam.  Rais Barack wa Marekani, Obama ametaja vipaumbele vinne vya Marekani kwa Tanzania, ambavyo vinajumuisha miradi mbalimbali ya umeme, miundombinu ya barabara, maji na programu za vijana kwa lengo la kuongeza ajira. Kiongozi huyo aliwasili Dar es Salaam jana mchana ikiwa ni nchi ya mwisho katika ziara yake barani Afrika ikitanguliwa na Senegal na Afrika Kusini. Akizungumza na waandishi wa habari pamoja na Rais Jakaya Kikwete Ikulu, Rais Obama alisema aliainisha mambo hayo wakati alipozungumza na mwenyeji wake huyo. Alisema katika mazungumzo hayo, waligusia mradi wa mkubwa wa umeme uitwao Power Afrika wenye lengo la kuongeza kiwango cha umeme kinachozalishwa nchini na barani Afrika ili kupata umeme nafuu na wa uhakika utakaochagiza kuongeza uzalishaji na kukuza ajir

NDEGE 8 ZATUA DAR KWA AJILI YA ZIARA YA RAIS OBAMA

Image
DAR ES SALAAM.   MAKACHERO wa Marekani wameendelea na matayarisho ya mwisho ya ziara ya Rais Barack Obama, ambapo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere walikuwa na kazi ya kuunganisha helikopta za doria. Makachero hao walikuwa wakiunganisha helikopta sita zilizosafirishwa vipande vipande kutoka Marekani, ambapo meli mbili za kivita na ndege moja pia zimewasili. Rais Obama tayari yuko katika ardhi ya Afrika, ambapo leo anatarajiwa kwenda Afrika Kusini baada ya kumaliza ziara yake ya kwanza Senegal na anatar ajiwa kuwasili nchini Jumatatu. Kwa mujibu wa uchunguzi uliofanywa jana na Mwananchi unaonyesha Marekani imeleta helikopta hizo kwa ajili ya ulinzi wa Rais Obama, zikiwemo meli zilizobeba helikopta nyingine mbili na ndege. Habari zilizopatikana kutoka kwa wafanyakazi wa Uwanja wa Ndege wa Ki

MAGAZETI YA LEO TARAHE 24/06/2013

Image

MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA (TCRA) KANDA YA MASHARIKI WATOA SEMINA YA MAWASILIANO KWA WADAU WAO KATIKA WILAYA YA BAGAMOYO

Image
Mkurugenzi wa Huduma za Mawasiliano wa TCRA, Dk.Raynold Mfungahema,akionyeshwa na   Rajabu Husein ujumbe kwenye simu yake   wakati   alipokuwa akitoa mada   ya haki   na wajibu wa watumiaji   wa huduma za mawasiliano   katika semina   ya watumiaji wa huduma za Mawasiliano (wadau) iliyowashirikisha wakazi wa Wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani.Semina hiyo iliandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania Kanda ya Mashariki Mkurugenzi wa Huduma za Mawasiliano wa TCRA, Dk.Raynold Mfungahema,akimsikiliza mmoja wa wanasemina waliohudhuria    katika semina   ya watumiaji wa huduma za Mawasiliano (wadau) iliyowalenga   wawakilishi ,jumuiya mbalimbali za vijiji na vitongoji vyaWilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani.Semina hiyo iliandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania Kanda ya Mashariki. Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Ahmedi Kipozi   akisalimiana na Ramadhan Said   wakati wa uzinduzi rasmi wa semina ya   wadau wa huduma za Mawasiliano   iliyowalenga wawakilishi wa jumuiya mbalimb