JE USHAWAHI KUFIKIRIA JINSI YA KUPAMBANA NA VYETI FEKI, WILHELM ANA JIBU TUMPIGIE KURA
# LETSVOTE FOR OUR TANZANIAN TALENTED BROTHER IN ICT, Wilhelm Caspar Oddo AMBAYE ANASHIRIKI KATIKA SHINDANO LA KUTAFUTA APPLICATION BORA ZITAKAZO SAIDIA JAMII NA TAIFA KWA UJUMLA, APPLICATION HII "ACADEMIFY" NI MAHUSUSUSI KATIKA KUPAMBANA NA WANAOFORGE VYETI VYA ELIMU, KWA KUSHIRIKIANA NA NECTA,TCU KUPITIA APP HII HAINA HAJA YA MWAJIRI KUBEBA VYETI KUTOKA MIKOANI NA KWENDA NAVYO BARAZA KUVIHAKIKI!! KWA MAELEZO ZAID CLICK HIYO LINK CHINI NA ITAKUPA MAELEZO YA KUTOSHA JUU YA P ROJECT HII MAELEKEZO JINSI YA KUVOTE http://ideas.makingallvoicescount.org/a/dtd/Academify/12234-26650 ... bofya hapo halafu utaona project inaitwa Academify. Kunasehemu pameandikwa I Agree na ukibonyeza utaulizwa unataka ku log in kwa kutumia nini? Facebook, yahoo, twitter, gmail nakadharika. chagua moja na ingiza user name yako na password then bonyeza I Agree tena. Academify ideas.makingallvoicescount.org Academify ideas.makingallvoicescount.org