Posts

MAGAZETI YA JULY 30 YAPO HAPA, KATIBA YATIKISA EID NA HABARI ZINGINE ZA KIMATAIFA

Image

MAGAZETI YA JULY 29 YAPO HAPA

Image
     

KUMBUKUMBU: MIAKA 5 YA KIFO CHA MAMA YANGU MPENDWA

Image
LEO imetimia miaka 5 tangu mama yangu mzazi GODRIVER POTI alipotutoka duniani,kiukweli hii ni siku ambayo huwa siwezi kuisahau maishani mwangu,kwani nilimpoteza mtu aliyekuwa muhimu sana tena sana nadiriki kusema hivyo kwa kuwa ndiye aliyekuwa mstari wa mbele kuhakikisha watoto wake tunapata elimu bora,tunajengeka kimaadili kwa kuturekebisha pale tulipokuwa tukikosea lakini pia haukusita kutuonyesha njia iliyosahihi ya kufuata ili kuweza kufanikiwa kimaisha na kuishi na watu vizuri. Pumzika kwa Amani mama huko uliko siku zote za maisha yetu hapa duniani tunakukumbuka sana  na tunaamini kuwa siku moja tutaonana tena,Watoto wako Nyanja,Erick,Masatu,Jackqueline na Felister Tunakukumbuka sana tunakosa upendo wako....mama unakumbukwa na dada zako,marafiki na jamaa kwa ujumla.           Upumzike kwa amani mama

NAWATAKIA EID MUBARAK NJEMA WAPENDWA WASOMAJI WA BLOH HII.

Image

CHANGAMKIA NAFASI ZA KAZI CHUO KIKUU CHA MTAKATIFU AUGUSTINO (SAUT), MWANZA CAMPUS

Image
The St. Augustine University of Tanzania (SAUT) is a private higher learning Institution Owned by Tanzania Episcopal Conference (TEC) with a vision of holistic development of a person and respect of human dignity. SAUT is an equal opportunity employer and it intends to recruit competent academicians capable of imparting professional skills and inculcate civic and social values to students that will make them better citizens. The applicants are required to fill the following vacant positions:- 1.0   Assistant Lecturers Languages  and Linguistics (2 posts) Human Resource Management (2 posts) Public Relations and Advertising (1 post) Accounting and Finance (2 posts) Finance and Banking (1 post) 1.1 Entry qualification for Assistant Lecturer post Holder of relevant of bachelor degree or Equivalent from reputable Higher academic Institution  ( First class, or Upper second class, with GPA 3.8 or a B+ in relevant subjects for unclassified degree and Master degree at

ULIKOSA KUANGALIA MKASI YA AUNTY EZEKIEL? IKO HAPA

MOVIE YA EXPENDABLES 3 YA LEAK KWENYE MTANDAO KABLA YA KUTOKA AUGUST 22

Image
Movie ya Expendables 3 iliyokuwa ikitarajiwa kuachiwa rasmi tareha 22 August, 2014 huko Marekani imevujishwa kwenye mtandao kabla ya tarehe rasmi ya kutoka,hivyo unaweza kuiona kabla ya muda wake kutoka rasmi.  Movie hii kwa mara nyingine inawakutanisha wakongwe katika zile movie za action kama Sylvester Stallon, Jet Li, Anord  Schwarzenegger, Wesley Snipes, Dolph Lundgren, Jason Statham, Antonio Banderas huku jambazi mkuu akiwa ni Mel Gibson kwenye movie hii akijulikana kama stonebanks. Unaweza kuidownload hapa EXPENDABLES ,

AJIRA 200 zilizotolewa uhamiaji zasitishwa ili kupisha uchunguzi

Image
chanzo: http://kazibongo.blogspot.com

MAGAZETI YA LEO JULY 28 YAPO HAPA

Image
             

DIAMOND NA LADY JAY DEE WASHINDA TUZO ZA AFRIMMA 2014

Image
  Tuzo za African Muzik Magazine Awards(AFRIMMA) mwaka huU zimetolewa huko Eisemann center Texas Marekani na kuhudhuriwa na mastaa mbalimbali wa kutoka Afrika pamoja na Marekani zikiwa hosted na mchekeshaji Basketmouth wa Nigeria.   Good news kwa mujibu wa meneja wa Diamond Platnumz, Babu Tale ni kwamba Diamond ameshinda tuzo mbili moja ya Msanii bora wa Afrika Mashariki na nyingine ni wimbo bora wa kushirikiana ambao ni ‘number one rmx’ alioufanya na Davido wa Nigeria. Huku mwanadada Lady Jay Dee akichukua kwa upande wa msanii bora wa kike kutoka Afrika Mashariki.  WASHINDI WENGINE WA AFRIMMA AWARDS 2014 Best DJ Africa 2014- Dj Black (Ghana) Best African DJ USA 2014 – Dj Josh (Kenya) Best Video of the Year 2014- Flavour (Nigeria) Best Male East Africa 2014- Diamond (Tanzania) Best Male West Africa 2014- Davido (Nigeria) Best Female East Africa 2014- Lady Jaydee (Tanzania) Best Female West Africa 2014 – Tiwa Savage (Nigeria) Best Male Central A

HAPPY BIRTHDAY TO ME.

Image

MANISPAA YA KINONDONI YAWAFUKUZA WATUMISHI TISA NA WENGINE WAWILI WAPEWA ONYO KALI

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Baraza la Madiwani la Manispaa yaa Kinondoni katika Kikao chake cha tarehe 22/07/2014 siku ya Jumanne, chini ya Mstahiki Meya Mh.Yusuph Mwenda pamoja na mambo mengine lilijadili na kutolea maamuzi ya mashauri ya mashtaka ya nidhamu yaliyofunguliwa kwa Watumishi 11 wa Idara mbalimbali za Manispaa waliofanya makosa mbalimbali kama Utoro kazini, Matumizi mabaya ya madaraka na ofisi. Kati ya Watumishi 11 waliofunguliwa Mashtaka, watumishi 6 ni wa Idara ya Afya, 2 ni wa Idara ya Elimu ya Sekondari (Walimu wa Leseni) na 3 ni wa Idara ya Utawala na Utumishi kada ya Maafisa   watendaji wa Mitaa ambao ni 2 na polisi msaidizi 1 . Aidha Baraza limefikia uamuzi wa kuwafukuza kazi watumishi 9 na kuwapa karipio watumishi 2. Kati ya watumishi 9 waliofukuzwa kazi, watumishi 4 ni wa Idara ya Afya, 3 Idara ya Utawala na Utumishi ambao ni Maafisa watendaji wa Mitaa 2 na Polisi Msaidizi 1, na 2 kutoka idara ya Elimu ya Sekondari ambao ni walimu wa Le