MOVIE YA EXPENDABLES 3 YA LEAK KWENYE MTANDAO KABLA YA KUTOKA AUGUST 22

Movie ya Expendables 3 iliyokuwa ikitarajiwa kuachiwa rasmi tareha 22 August, 2014 huko Marekani imevujishwa kwenye mtandao kabla ya tarehe rasmi ya kutoka,hivyo unaweza kuiona kabla ya muda wake kutoka rasmi. 

Movie hii kwa mara nyingine inawakutanisha wakongwe katika zile movie za action kama Sylvester Stallon, Jet Li, Anord  Schwarzenegger, Wesley Snipes, Dolph Lundgren, Jason Statham, Antonio Banderas huku jambazi mkuu akiwa ni Mel Gibson kwenye movie hii akijulikana kama stonebanks.

Unaweza kuidownload hapa EXPENDABLES

,image

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA