Posts

MWANAFUNZI AFIA DARASANI KWA KUPIGWA NA MWENZIYE

Mwanafunzi wa darasa la tano katika shule ya msingi Ilola iliyopo katika wilaya ya Shinyanga vijijini aitwaye Veronica Venance mwenye umri wa miaka 12 amefariki dunia kwa kupigwa na mwanafunzi mwenzake wakati wakigombania daftari darasani kwa ajili ya kuandika  notes . Walioshuhudia tukio hilo wamesema limetokea Februari 24 mwaka huu, saa 7 na nusu mchana katika darasa la tano katika Shule ya Msingi Ilola iliyopo katika Kata ya Ilola, Tarafa ya Itwangi, Wilaya ya Shinyanga. Wamesema mwanafunzi huyo amefariki dunia baada ya kupigwa makofi na ngumi sehemu za kichwani na mwanafunzi mwenzake aitwaye Sophia Mathew (12). Jeshi la polisi mkoa wa Shinyanga limethibitisha kutokea kwa tukio hilo. Taarifa ya Kadama Malunde, Shinyanga  via  Malunde1 blog:  MWANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI AUA MWANAFUNZI MWENZAKE DARASANI HUKO SHINYANGA VIJIJINI

RAIS KIKWETE ZIARANI NCHINI ZAMBIA

Image
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma wakiwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kenneth Kaunda jijini Lusaka Zambia na kupokewa na mwenyeji wao Rais Edgar Lungu wa Zambia leo asubuhi kwa ziara ya kikazi ya siku mbili. Rais Kikwete na Rais Lungu wa Zambia wakipokea heshima ya mizinga 21 mara baada ya kuwasili. Picha: Freddy Maro, Ikulu

GOOGLE BAN PUBLIC NUDITY SHARING ON BLOGGER

Image
The article below is shared "as is" from  Google's support page: Adult content policy on Blogger Starting March 23, 2015, you won't be able to publicly share images and video that are sexually explicit or show graphic nudity on Blogger. Note: We’ll still allow nudity if the content offers a substantial public benefit, for example in artistic, educational, documentary, or scientific contexts. Changes you’ll see to your existing blogs If your existing blog doesn’t have any sexually explicit or graphic nude images or video on it, you won’t notice any changes. If your existing blog does have sexually explicit or graphic nude images or video, your blog will be made private after March 23, 2015. No content will be deleted, but private content can only be seen by the owner or admins of the blog and the people who the owner has shared the blog with. Settings you can update for existing blogs If your blog was created before March 23, 2015, and contains content th

VIDEO: WEMA SEPETU AKIMUONGELEA DIAMOND PLATNUMZ

Image

VANESSA MDEE & BARNABA - SIRI [OFFICIAL VIDEO]

Image

BELLE 9 FEATURING JOH MAKINI - VITAMIN MUSIC OFFICIAL VIDEO

Image
Produced by Mona Gangstar - Classic Sound Directed by Khalfan Bamushka

PICHA ZA UZINDUZI WA UANDIKISHAJI WAPIGA KURA KATIKA DAFTARI LA KUDUMU

Image
Baadhi ya watu waliohudhuria katika Uzinduzi wa Uborereshaji wa Daftari kla Kudumu la Wapigakura katika mji mdogo wa Makambako wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipohutubia katika uzinduzi huo Februari 24, 2015 Baadhi ya watu waliohudhuria katika Uzinduzi wa Uborereshaji wa Daftari kla Kudumu la Wapigakura katika mji mdogo wa Makambako wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipohutubia katika uzinduzi huo Februari 24, 2015 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipohutubia katika uzinduzi huo Februari 24, 2015 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizindua Uborereshaji wa Daftari kla Kudumu la Wapigakura katika mji mdogo wa Makambako Februari 24, 2015.Kushoto ni Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Damian Lubuva na Katikati ni Katibu wa Tume hiyo, Ndugu Malaba.    Waziri Mkuu Mizengo Pinda na Naibu Katibu Mkuu ambaye pia ni Katibu Mwenezi wa CHADEMA Mhe John  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mwenyekititi wa Tume

MAGAZETI LEO JUMATANO

Image

SUAREZ AIADHIBU MAN CITY KWENYE UEFA JANA USIKU

Image
Mshambuliaji wa Zamani wa Liverpool Luis Suarez amerejea nchini England hapo jana na bahati ya kipekee baada ya kuiwezesha timu yake mpya ya Barcelona kuibuka na ushindi wa mabao mawili 2-1 dhidi ya wapinzani wao Manchester City katika mechi ya Klabu Bingwa barani Ulaya . Suarez aliwashangaza mashabiki wa Man City baada kupachika wavuni mabao yote mawili na hivyo kuwaonyesha ni moto wa kuotea mbali anapofika kwenye kisanduku cha kumi nane. Goli pekee la kufutia machozi la Manchester City lilitiwa kimiani na mshambuliaji wa timu hiyo Sergio Aguero. Na hivyo hadi mechi hiyo inamalizikia Man City wakiwa nyumbani walijikuta wakivuna juani goli moja dhidi ya magoli mawali ya Barcelona. Na katika mechi nyingine ya michuano hiyo Juventus ya Italia wakiwa nyumbani waliwaadhibu Borussia Dortmund ya Ujerumani baada ya kuwashushia kichapo cha magoli mawili kwa moja. Magoli ya Juventus yalitiwa kimiani na Carlos Tevez na Alvaro Morata huku lile la Borussia Dortmund likitiwa kimiani na Marco R

MSANII WA FILAMU ZA KIBONGO, DOREEN REGUNA ‘QUEEN MAGAL AIBUKA NA MIMBA YA MEZ B

Image
MSANII wa filamu za Kibongo, Doreen Reguna ‘Queen Magali’ amefunguka kuwa kifo cha staa wa Bongo Fleva, Moses Mshagama ‘Mez B’ ni pigo kubwa sana kwake kwani marehemu alikuwa ni mpenzi wake na alikuwa na mimba yake. Msanii wa filamu za Kibongo, Doreen Reguna ‘Queen Magali’. Akizungumza  huku akionesha sura ya masikitiko, Queen Magali alisema kinachomuuma zaidi ni kwamba, ujauzito wa marehemu aliokuwa nao, ulichoropoka saa chache baada ya kupokea taarifa za msiba huo. “Nilipopigiwa simu kwa mara ya kwanza, sikuamini, hata ndugu zake marehemu walinipigia simu, sikuamini hadi nilipompigia shangazi yake ambaye alinithibitishia msiba huo, hapohapo nikapata mshutuko, hali yangu ikawa mbaya hadi nikalazwa. “Nashukuru Mungu kwa sasa naendelea vizuri. “Kiukweli msiba huu kwangu umekuwa ni pigo kubwa, tulikuwa na mipango mingi na marehemu katika maisha yetu, alishanitambulisha kwa ndugu na jamaa zake wote wa karibu lakini nasikitika zaidi kwa kuwa nimechelewa kuhudhuria mazishi ya mpenzi wa

SHILOLE, NUH MZIWANDA WACHAFUA HALI YA HEWA MTANDAONI

Image
Mwigizaji na mwanamziki,  Zuwena Mohammed ‘Shilole’ ambae ni mama wa watoto wawili wa kike , akiwa na mchumba wake Nuh wamechafua hali ya hewa baada ya kutupia picha yao inayowaonyesha wakiwa watupu. Nuh Mziwanda ndio alioibandika picha hiyo kwenye ukursa wake kwenye mtandao wa instagram na baada ya kuona wengi wanamshabulia aliamua kuibandua. Kwa kiufupi picha hii haina maadili na ukizingatia mwanadada Shilole ni mama na sijui watoto wake watajifunza nini hapa. Wapo walioona kuwa kitendo hiki alichokifanya Mziwanda labda ni kutokana na umri wake hivyo hayo ni baadhi ya matokeo ya kuwa na mahusiano  na mtu mtoto mdogo  na kuona Mziwanda hana kosa hapa. Lakini pia wapo walioona kuwa wawili hawa wanatafuta  KIKI  tu ili media za hapa Bongo ziwazungumzie kama Zari na Diamond, ila pia wapo amabo wanaona hii ipo poa  na haina tatizo. Nadhani kitendo cha Mziwanda kubandua picha hii ni kutokana na akili yake ku-CLICK kuwa amekosea, nampongeza kwa hilo na naamini atakuwa amejifunza kit

WASTARA ANADAIWA KUPOTEZA FAHAMU KISA MPENZI WAKE BOND

Image
DIVA wa filamu nchini, Wastara Juma ambaye kwa sasa anaripotiwa kuwa katika mapenzi na mwigizaji mwenzake, Bond Bin Suleiman anadaiwa kupoteza fahamu mara tu baada ya kupewa taarifa kuwa mpenziwe huyo amepata mtoto wa nne kwa mwanamke mwingine. DIVA wa filamu nchini, Wastara Juma akiwa hospitali baada ya kuzimia. TUJIUNGE NA CHANZO Kwa mujibu wa chanzo makini, Wastara alipenyezewa ubuyu na mpenzi wa zamani wa Bond, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ na kuambiwa kwamba asijishebedue kwani Bond ana mwanamke mwingine ambaye amejifungua mtoto wa nne hivi karibuni. “Tunakushangaa unavyojinadi kuwa Bond ni wako na kumpa zawadi ya keki ya bethidei wakati mwenzako amezaa na mwanamke mmoja baamedi hivi karibuni. Tena si kwamba mtoto huyo ni wa kwanza, ni wa nne,” kilisema chanzo hicho kikimnukuu Aunty. ALIVYOZIMIA Chanzo hicho kifunguka kuwa, baada ya kupewa taarifa hizo na Aunty Lulu, alizimia ghafla na kulazwa hospitali.“Wastara alizimia punde tu baada ya kupewa taarifa hizo, nasikia wal