Posts

SALOME KWEKA AFARIKI DUNIA USIKU WA KUAMKIA LEO

Image
Aliyekuwa mke wa Eng. James Kitiganda  Kirahuka, Salome Kweka au Manka amefariki dunia usiku wa kuamkia leo majira ya saa 4:30 usiku katika hospital ya Taifa ya Muhimbili alikokuwa amelazwa katika chumba cha watu mahututi (ICU).  Daima tutakukumbuka Salome umeondoka mapema sana. Kwa taarifa zaidi juu ya msiba utakuwa wapi na mazishi yake utazipata baadaye. Mungu kampenda zaidi.

BODI YA CHAKULA, DAWA NA VIPODOZI ZANZIBAR YATEKETEZA TANI 8.5 ZA DAWA NA VYAKULA.

Image
Wafanyakazi wa Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar wakiteremsha baadhi ya maboksi ya dawa mbalimbali, vipodozi, mchele, na tende zilizoharibika kwaajili ya kuviangamizwa. Maboksi ya dawa yaliomaliza muda wake yakiangamizwa kwa kuchomwa moto katika eneo la kibele Wilaya Kati Unguja. Mchele ulioingia nchini ambao haufai kwa matumizi ya binaadam na tende vikiangamizwa kwa kuchomwa moto kijiji cha kibele Wilaya Kati Unguja. Mafisa wa  Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar wakisimamia zoezi la uteketezaji wa dawa, vipodozi, mchele, na tende ambavyo vitu vyote hivyo havifai kwa matumizi ya binadam. ( Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar ).

SOMA MAGAZETI YA LEO ALHAMISI

Image

MWANAFUNZI AFIA DARASANI KWA KUPIGWA NA MWENZIYE

Mwanafunzi wa darasa la tano katika shule ya msingi Ilola iliyopo katika wilaya ya Shinyanga vijijini aitwaye Veronica Venance mwenye umri wa miaka 12 amefariki dunia kwa kupigwa na mwanafunzi mwenzake wakati wakigombania daftari darasani kwa ajili ya kuandika  notes . Walioshuhudia tukio hilo wamesema limetokea Februari 24 mwaka huu, saa 7 na nusu mchana katika darasa la tano katika Shule ya Msingi Ilola iliyopo katika Kata ya Ilola, Tarafa ya Itwangi, Wilaya ya Shinyanga. Wamesema mwanafunzi huyo amefariki dunia baada ya kupigwa makofi na ngumi sehemu za kichwani na mwanafunzi mwenzake aitwaye Sophia Mathew (12). Jeshi la polisi mkoa wa Shinyanga limethibitisha kutokea kwa tukio hilo. Taarifa ya Kadama Malunde, Shinyanga  via  Malunde1 blog:  MWANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI AUA MWANAFUNZI MWENZAKE DARASANI HUKO SHINYANGA VIJIJINI

RAIS KIKWETE ZIARANI NCHINI ZAMBIA

Image
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma wakiwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kenneth Kaunda jijini Lusaka Zambia na kupokewa na mwenyeji wao Rais Edgar Lungu wa Zambia leo asubuhi kwa ziara ya kikazi ya siku mbili. Rais Kikwete na Rais Lungu wa Zambia wakipokea heshima ya mizinga 21 mara baada ya kuwasili. Picha: Freddy Maro, Ikulu

GOOGLE BAN PUBLIC NUDITY SHARING ON BLOGGER

Image
The article below is shared "as is" from  Google's support page: Adult content policy on Blogger Starting March 23, 2015, you won't be able to publicly share images and video that are sexually explicit or show graphic nudity on Blogger. Note: We’ll still allow nudity if the content offers a substantial public benefit, for example in artistic, educational, documentary, or scientific contexts. Changes you’ll see to your existing blogs If your existing blog doesn’t have any sexually explicit or graphic nude images or video on it, you won’t notice any changes. If your existing blog does have sexually explicit or graphic nude images or video, your blog will be made private after March 23, 2015. No content will be deleted, but private content can only be seen by the owner or admins of the blog and the people who the owner has shared the blog with. Settings you can update for existing blogs If your blog was created before March 23, 2015, and contains content th

VIDEO: WEMA SEPETU AKIMUONGELEA DIAMOND PLATNUMZ

Image

VANESSA MDEE & BARNABA - SIRI [OFFICIAL VIDEO]

Image

BELLE 9 FEATURING JOH MAKINI - VITAMIN MUSIC OFFICIAL VIDEO

Image
Produced by Mona Gangstar - Classic Sound Directed by Khalfan Bamushka

PICHA ZA UZINDUZI WA UANDIKISHAJI WAPIGA KURA KATIKA DAFTARI LA KUDUMU

Image
Baadhi ya watu waliohudhuria katika Uzinduzi wa Uborereshaji wa Daftari kla Kudumu la Wapigakura katika mji mdogo wa Makambako wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipohutubia katika uzinduzi huo Februari 24, 2015 Baadhi ya watu waliohudhuria katika Uzinduzi wa Uborereshaji wa Daftari kla Kudumu la Wapigakura katika mji mdogo wa Makambako wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipohutubia katika uzinduzi huo Februari 24, 2015 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipohutubia katika uzinduzi huo Februari 24, 2015 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizindua Uborereshaji wa Daftari kla Kudumu la Wapigakura katika mji mdogo wa Makambako Februari 24, 2015.Kushoto ni Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Damian Lubuva na Katikati ni Katibu wa Tume hiyo, Ndugu Malaba.    Waziri Mkuu Mizengo Pinda na Naibu Katibu Mkuu ambaye pia ni Katibu Mwenezi wa CHADEMA Mhe John  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mwenyekititi wa Tume