SALOME KWEKA AFARIKI DUNIA USIKU WA KUAMKIA LEO

Aliyekuwa mke wa Eng. James Kitiganda  Kirahuka, Salome Kweka au Manka amefariki dunia usiku wa kuamkia leo majira ya saa 4:30 usiku katika hospital ya Taifa ya Muhimbili alikokuwa amelazwa katika chumba cha watu mahututi (ICU). 

Daima tutakukumbuka Salome umeondoka mapema sana. Kwa taarifa zaidi juu ya msiba utakuwa wapi na mazishi yake utazipata baadaye. Mungu kampenda zaidi.

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA