Posts

INGIA HAPA KUTIZAMA MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2015

Matokeo ya kidato cha sita yametangazwa rasmi na tayari yashawekwa kwenye website ya  baraza la mitihani, hivyo unaweza tizama kupitia link hii.   MATOKEO YA KIDATO CHA SITA CLICK HAPA

MAGAZETI YA LEO ALHAMIS, JULY 16 YAPO HAPA

Image
                                                                           

Kirigini achukua fomu kuwania Ubunge Musoma Mjini

Image
Kada wa CCM, Paul Kirigini ametangaza nia yake ya kuwania Ubunge wa Musoma Mjini akidai kuwa hali ya umasikini na kushindwa kuthaminiwa kwa wakazi wa jimbo hilo kumechangia kumsukuma kuwania nafasi hiyo. Kwa taarifa na picha zaidi, tembelea chanzo cha taarifa hii:  Shommi B blog

CLUB MPYA YA MAISHA BASEMENT ZAMANI NEW MAISHA CLUB KUZINDULIWA SIKU YA IDD MOSI ,

Image
  Mratibu wa Burudani wa Club mpya ya ‘Maisha Basement’ zamani New Club Maisha, Hemed Kavu (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu uzinduzi wa Club hiyo utakaofanyika Idd Mosi katika Jengo la LAPF Towers lililopo mkabala na Makumbusho ya Taifa eneo la Kijitonyama ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda. Kulia ni Meneja Mkuu wa Club hiyo, Allan Ngugi na Meneja Uendeshaji wa Sam Kaliuki.    Mratibu wa Burudani wa Club mpya ya ‘Maisha Basement’ zamani New Club Maisha, Hemed Kavu (katikati), akizungumza katika mkutano huo. Kushoto ni Meneja wa Matukio, Robert Salehe na Kulia ni Meneja wa Burudani, Geofrey Gilla.   Meneja wa Burudani, Geofrey Gilla, akiwaonesha wanahabari ukumbi huo.   Meneja Mkuu wa Club hiyo, Allan Ngugi  (kulia), akifurahia jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa Club hiyo,Jean Claud Ciza wakati wa utambulisho wa uzinduzi huo kwa wanahabari.   Mtaalamu w

DC MAKONDA AKUTANA NA VIJANA WASIO NA AJIRA NA KUWAUNGANISHA, KUBUNI MIRADI YA KIUCHUMI ILI KUPUNGUZA TATIZO LA AJIRA

Image
Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Mh. Paul Makonda akizungumza na vijana  ambao hawana ajira  wenye elimu tofauti  katika viwanja vya Leaders  jijini Dar es salaam, ambapo amekutana na vijana hao  ili kuzungumza nao kwa ajili ya kutatua tatizo lao lao la ajira . DC Makonda amesema lengo la kuwaita vijana hao ilikuwa ni kuwakutanisha  wafahamiane na wabadilishane mawasiliano lakini pia wataunda vikundi vyao kulingana na taaluma zao na kila kundi litaandika miradi ipatayo mitano ili tuweze kuifanyia kazi kwa kuwatafutia mitaji au ufadhili baada ya miradi yao kubuniwa  Ameongeza kwamba mpango huu utapunguza vijana kukaa bila kazi na kuingia katika vishawishi vya mimba kwa wasichana na na matukio yasiyo mema katika jamii. kama vile uhalifu na mengine mengi. Lakini pia amesema kuna makampuni mengi yameahidi kuchukua vijana wenye uwezo wa kufanya kazi kwani kwa kuwaunganisha vijana hao litakuwa ni jambo rahisi kupata wafanyakazi wa kuajiri , ikiwa ni pamoja na kuchuku