Posts

SOMA VICHWA VYA MAGAZETI YA LEO JUMATANO, HABARI ZA KITAIFA, MICHEZO NA KIMATAIFA

Image

Meninah aolewa kimyakimya jijini Dar na mtoto wa Waziri

Image
WENYE wivu wajinyonge! Nyota wa muziki wa kizazi kipya, zao la BSS 2012 Meninah Abdulkarim, anadaiwa kufunga ndoa kimyakimya mwishoni mwa wiki iliyopita na mtu anayetajwa kulelewa tangu utotoni na aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini aliyejiuzulu, Profesa Sospeter Muhongo. Chanzo chetu makini kimearifu kuwa shughuli hiyo ilifanyika Agosti 16 mwaka huu ikimaliziwa na sherehe kubwa iliyofanywa nyumbani kwao, Kigamboni jijini Dar es Salaam. “Ebwana Meninah kaolewa na jamaa mmoja ambaye tumeambiwa ni mtoto wa Muhongo, ambaye alikuwa naye kwenye uhusiano wa kimapenzi kwa muda mrefu sasa, ndoa hiyo ilikuwa ya siri maana sisi hatukujua kabisa, ila nilikuwa naenda zangu mjini mara nikakutana na magari ya harusi ndiyo nikajumuika na mimi kula ubwabwa,” kilisema chanzo chetu ambacho kilishuhudia shughuli nzima.   Inadaiwa kuwa bwana harusi amelelewa kwa muda mwingi wa maisha yake na Profesa Muhongo kiasi kwamba watu wa karibu na familia hiyo walifahamu ni mtoto wake wa kumzaa. H

KITILA MKUMBO AWASHUKURU ACT KWA KUMPENDEKEZA KUWANIA URAIS

Image
Aliyeteuliwa kuwania urais kupitia chama cha ACT Wazalendo, Kitila Mkumbo. Ndugu Wazalendo, Naomba niwashukuru nyote kwa imani kubwa mliyo nayo juu yangu katika kukiwakilisha chama katika nafasi ya Rais. Naishukuru pia Kamati Kuu kwa imani yake kwangu hata kufikia hatua ya kupitisha azimio la kuniomba nigombee urais kwa chama chetu. Jana Kamati Kuu ilituma ujumbe maalumu nyumbani kwangu kwa ajili ya kuzungumza na familia na jamaa zangu juu ya ombi hili. Aidha, Nimekuwa nikilitafakari jambo hili tangu Alhamisi nilipoombwa rasmi kutafakari uwezekano wa mimi kugombea baada ya juhudi zetu za kutafuta mgombea kushindikana. Nimefanya mawasiliano mapana katika familia, ndani ya chama, chuoni ninapofanyia kazi, Kanisani kwangu,na kwa watu na taasisi mbalimbali ninazohusiana nazo. Baada ya tafakari na mawasiliano (consultations) mapana nasikitika kusema kwamba sina utayari na maandalizi ya maana ya kisaikolojia, kifamilia, na kisiasa kuniwezesha kugombea nafasi ya urais katika ucha

MABASI YA MWENDO WA HARAKA JIJINI DAR YAZINDULIWA RASMI

Image
...Akikata utepe kama ishara ya uzinduzi huo.   ...Akiwa tayari amepanda gari la mwendo wa haraka baada ya uzinduzi. Mgeni rasmi, Hawa Ghasia, akizungumza jambo. Mstahiki Meya wa Mkoa wa Dar es Salaam, Dkt.  Didas Massaburi (kushoto), akisalimiana na Sadick Mecky Said kabla ya uzinduzi. (P.T) Gari la mwendo wa haraka likiwa limepaki sehemu ya uzinduzi huo. Moja ya magari ya mwendo wa haraka ambalo ni fupi. Baadhi ya wananchi wakitamani kuyaona magari hayo Baadhi ya wafanyakzi wa DART na wananchi wakisikiliza taaarifa iliyokuwa ikisomwa kwa mgeni rasmi kabla ya uzinduzi. Madereva wa Kichina waliokuja kwa ajili ya kutoa mafunzo ya udereva wa magari hayo ya mwendo wa haraka. Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Dar es Salaam, Suleiman Kova (kushoto) akiwa na Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Mohammed Mpinga. Baadhi ya wananchi waliokuwepo kwenye uzinduzi huo. Mwonekano wa ndani moja ya magari hayo. Baadhi ya wakazi wa e

MGAWANYO RASMI WA MAJIMBO YA UKAWA

Image
Mara Rorya CDM Tarime Mjini CDM Tarime Vijijini CDM Musoma Vijijini CDM Butiama CDM Bunda Mjini CDM Mwibara CDM Musoma Mjini CDM Bunda Vijijini CDM Simiyu Bariadi CDM Maswa magharibi CDM Maswa mashariki CDM Kisesa CDM Meatu CDM Itilima CDM Busega CUF Shinyanga Msalala CDM Kahama Mjini CDM Kahama Vijijini CDM Shinyanga Mjini CDM Kishapu CDM Ushetu CDM Mwanza Ukerewe CDM Magu CDM Nyamagana CDM Kwimba CUF Sumve CUF Buchosa CDM Sengerema CDM Ilemela CDM Misungwi CDM Geita Bukombe CDM Busanda CDM Nyang'wale CDM Chato CDM Mbogwe CDM Kagera 1 Karagwe CDM 2 Kyerwa CDM 3 Bukoba Mjini CDM 4 Bukoba Vijijini CUF 5 Nkenge NCCR 6 Muleba Kaskazini CDM 7 Muleba Kusini CDM 8 Biharamulo CDM 9 Ngara NCCR Mbeya Lupa CDM Songwe CDM Mbeya Mjini CDM Kyela CDM Rungwe CDM Busekelo CDM Ileje NCCR Mbozi Mashariki CDM Momba CDM Mbeya Vijijini CDM Tunduma CDM Viwawa CDM Iringa 1 Ismani CDM 2 Kalenga CDM 3 Mufindi kaskazini CDM 4 Mufindi Kusini NCCR 5 Iringa Mjini CDM 6 Kilolo CDM 7 Mafinga Mjini CDM N

KAMATI KUU YA CCM YAFANYA UTEUZI KATIKA MAJIMBO YALIYOBAKIA

Image
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Sekretarieti, Makao Makuu ya CCM, Ofisi Ndogo Lumumba jijini Dar.

SOMA MAGAZETI YA LEO JUMANNE,AGOSTI 18

Image
. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .