Posts

Official Trailer | PRISON BREAK

Image

Jela miaka 30 kwa yeyote atakayemhusisha mtoto kwenye dawa za kulevya

SERIKALI imesema kuwa mtu yeyote atakayekamatwa kwa kosa la husisha au kushawishi mtoto kujiingiza katika matumizi au biashara ya dawa za kulevya atahukumiwa kifungo cha miaka isiyopungua 30. Hayo yamesema na Mkuu wa Kitengo cha Elimu, Habari na Takwimu wa Tume ya kuratibu na kudhibiti wa Dawa za Kulevya, Amani Msami kupitia Taarifa ya tume hiyo kwa vyombo vya habari. Msami alisema adhabu hiyo ni kwa mujibu wa Sheria ya kudhibiti na kupambana na Dawa za Kulevya Na.5 ya mwaka 2015 tofauti na Sheria ya Kuzuian Biashara Haramu ya Dawa za Kulevya Na. 9 ya mwaka 1995 iliyokuwa na mapungufu. Alisema mbali na adhabu hiyo, sheria hiyo mpya imeweka adhabu ya kifungo cha maisha na faini ya shilingi Milioni 200 kwa kumiliki mitambo ya kutengeneza dawa za kulevya. Msami aliongeza kuwa Sheria hiyo pia imeweka adhabu kali ya kifungo cha maisha pamoja na faini isiyopungua Shilingi Bilioni moja kwa watu wanaofadhili biashara ya Dawa za Kulevya. “Aidha, sheria hii imeweka adhabu kali ya

Wahukumiwa kwenda jela miaka 12 na 27 kwa kughushi nyaraka NHIF

WATU wawili wamehukumiwa kwenda jela kwa makosa ya kughushi nyaraka za Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) za kuweza kujipatia dawa katika maduka ya dawa yaliyosajiliwa na mfuko huo. Hukumu hiyo imetolewa na Hakimu wa Mkazi wa Mahakama ya Ilala, Juma Hassan mahakamani hapo kuwa washitakiwa wote wawili watatumikia kifungo kutokana na makosa yao tisa ambapo mtuhuhumiwa wa kwanza Bakari Ramadhan amehukumiwa miaka 27 jela kwa makosa yote tisa na Ahmed Mohamed amehukumiwa miaka 12 kwenda jela kwa makosa manne. Washitakiwa hao walibainika Desemba 14, 2014 katika Duka JD Pharmacy lilopo Posta wakiwa wanataka kuchukua dawa na ndipo walikamatwa. Akizungumzia hukumu hiyo Mkaguzi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Charles Mjema amesema kuwa wananchi watumie mfumo uliowekwa na NHIF na sio kughushi kutokana na mifumo iliyopo inabaini watu walio halali wa kuchukua dawa. Amesema kuwa NHIF imeweka utaratibu wa mtu kuweza kupata matibabu na kupata dawa katika mfumo ulio bora kughushi h

RAIS DKT.MAGUFULI AMTEUA GERSON MDEMU KUWA NAIBU MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI

Image

MAGAZETI YA LEO MAY 24

Image

MAADHIMISHO YA MIAKA 20 YA KUZAMA KWA MV.BUKOBA

Magazeti ya Leo Jumapili

Image