Posts

Taarifa ya habari ChannelTEN Agosti 11, 2016

Image

RAIS MAGUFULI AZINDUA UJENZI WA DARAJA LA FURAHISHA

Image
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt. John Pombe Magufuli akipata ufafanuzi wa maendeleo ya ujenzi wa daraja la waenda kwa miguu na upanuzi wa Barabara ya Uwanja wa Ndege eneo la Furahisha jijini Mwanza kutoka kwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa barabara nchini Eng. Patrick Mfugale, kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Bw. John Mongela. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt. John Pombe Magufuli akizindua mitambo inayojenga daraja la waenda kwa miguu na upanuzi wa Barabara ya Uwanja wa Ndege eneo la Furahisha jijini Mwanza, wa pili kutoka kulia ni Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli na watatu kutoka kulia ni Naibu Waziri wa Ujenzi Eng. Edwin Ngonyani. Mtendaji Mkuu wa Wakala wa barabara nchini Eng. Patrick Mfugale akimuonesha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt. John Pombe Magufuli wa tatu kulia michoro ya muonekano wa daraja la waenda kwa miguu na upanuzi wa Barabara ya Uwanja wa Ndege eneo la Furahisha jijini Mwanza.   Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi,

Kurasa za mbele na nyuma za baadhi ya magazeti ya Tanzania leo Agosti 12, 2016

Image

Ubuyu: Gigy Money awataja mastaa 6 aliotoka nao kimapenzi

Image
Gigy Money Jumanne hii aliwaacha mdomo wazi mashabiki wake baada ya kuwataja live kwenye runinga mastaa 6 wakiume aliotoka nao kimapenzi. Video queen huyo ambaye amewai kutamba katika video za mastaa mbalimbali wa bongo, amedai amewai kutoka kimapenzi na AliKiba, Abdu Kiba, Rich Mavoko, Harmonize, Hemed Phd pamoja na mtangazaji wa kipindi cha runinga cha Siz Kitaa cha Clouds TV, Castro Dickson ambaye alidai alikuwa tayari kumzalia mtoto. “Nilikuwa na Castro mpaka nilikuwa tayari kumzalia,” Gigy Money alikiambia kipindi cha Take One cha Clouds TV. “kwa sababu anajua upendo kwa mtoto, lakini wakaja wanawake wamjini wakakorofisha, lakini hajawai kuniambia kama tumeachana, sijui kama tumeachana,” Gigy ambaye pia ni mtangazaji wa Choice FM alidai Mama yake mzazi alimzaa nyuma ya mlango wa choo. Pia alisema kwamba aliwahi kujitoa kimwili katika umri mdogo ilia pate hela ya kuweza kumnusuru mama yake mzazi kulipa deni la mkopo wa Benki umenukuliwa kutoka bongo5

Video: Nikki Mbishi Feat Nemo – Tulikuwepo

Image
From Sam Magoli The Project,Nikki Mbishi one of the best hip hop artists in East Africa had featured the RnB singer,Nemo on the song called “TULIKUWEPO” produced by Kiba Drama and directed by Kimamba of Mitikasi Films.

Taarifa ya NHIF ya utaratibu sahihi wa kuandikisha wanachama

Image

Mandhari inayozunguka uwanja wa Taifa, Dar es Salaam...

Image
Licha ya kujengwa uwanja mzuri wa soka wa kisasa wenye hadhi ya kimataifa, matunzo ya uwanja huo yamekuwa hafifu. Minazi iliyofanya mandhari ya uwanja huo kupendeza na kuvutia sasa hivi ni tofauti kwani ni hafifu hasa eneo la nje la maegesho ya magari ambapo awali palikuwa na nyasi zinazovutia na miti. Nyasi zimekauka, minazi nayo imekauka na kung'olewa kabisa. Kwenye nyasi hizi ndipo panakoegeshwa magari. Kwa kutumia miundombinu ya maji iliyopo uwanjani hapo, nyasi hizo zingeweza kustawi na kupendezesha eneo la nje. Moja ya mabomba ya maji ambayo yametengenezwa kwa ajili ya kujazia maji magari ya zima-moto ambayo yangeweza pia kutumika kumwagilia maua na nyasi katika eneo hilo. Maeneo ya kupandia minazi ya urembo  Moja ya mabomba ya maji ambayo yametengenezwa kwa ajili ya kujazia maji magari ya zima-moto ambayo yangeweza pia kutumika kumwagilia maua na nyasi katika eneo hilo. Picha na maelezo kutoka blogu ya  Father Kidevu

Call for applications: Queen’s Young Leaders Award

Image
The Queen’s Young leader award recognises and celebrates exceptional people aged between 18 – 29 from across the Commonwealth who are taking lead in their communities and using their skills to transform live. Winners of this prestigious Award will receive a unique package of training, mentoring and networking, including a one-week residential programme in the UK during which they will collect their Award from Her Majesty The Queen. With this support, Award winners will be expected to continue and develop the amazing work they are already doing in their communities. Applications are now open. Apply now for this once in a lifetime opportunity ( www.QueensYoungLeaders.com )

JPM AHUTUBIA MAENEO MBALIMBALI AKIWA NJIANI KUELEKEA MWANZA MJINI

Image
Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wakazi wa Mkuyuni na Butimba jijini Mwanza  wakati akitokea Wilayani Sengerema. PICHA NA IKULU Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi mbalimbali wa Mwanza mara baada ya kuwasili katikati ya jiji la Mwanza. Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi mbalimbali wa Mwanza mara baada ya kuwasili katikati ya jiji la Mwanza. Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi mbalimbali wa Nyegezi stand jijini Mwanza wakati akitokea Wilayani Sengerema. Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi mbalimbali wa Nyegezi stand jijini Mwanza wakati akitokea Wilayani Sengerema. Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia wananchi mbalimbali wa Kigongo mara baada ya kuvuka upande wa pili kutoke

MAGAZETI YA LEO ALHAMISI

Image