JPM AHUTUBIA MAENEO MBALIMBALI AKIWA NJIANI KUELEKEA MWANZA MJINI

KIME1
Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wakazi wa Mkuyuni na Butimba jijini Mwanza  wakati akitokea Wilayani Sengerema. PICHA NA IKULU
KIME2
Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi mbalimbali wa Mwanza mara baada ya kuwasili katikati ya jiji la Mwanza.
KIME1
Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi mbalimbali wa Mwanza mara baada ya kuwasili katikati ya jiji la Mwanza.
KIME3
Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi mbalimbali wa Nyegezi stand jijini Mwanza wakati akitokea Wilayani Sengerema.
KIME4
Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi mbalimbali wa Nyegezi stand jijini Mwanza wakati akitokea Wilayani Sengerema.
KIME5
Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia wananchi mbalimbali wa Kigongo mara baada ya kuvuka upande wa pili kutokea Busisi.
KIME6
Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wakazi mbalimbali wa Usagara katika jimbo la Misungwi mkoani Mwanza mara baada ya kuwasalimia.
KIME7
Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi wa Buhongwa nje kidogo ya jiji la Mwanza kushoto ni Mbunge wa jimbo la Misungwi Mh. Charles Kitwanga.
KIME8

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA