Posts

Showing posts from September, 2011

MATOKEO YA MECHI EPL YA LEO.

Image
England - Premier League 18:42 September 24 FT Manchester C. 2 - 0 Everton FT Arsenal 3 - 0 Bolton W. FT Chelsea 4 - 1 Swansea C. FT Liverpool 2 - 1 Wolverhampton W. FT Newcastle U. 3 - 1 Blackburn R. FT West Bromwich A. 0 - 0 Fulham FT Wigan Athletic 1 - 2 Tottenham H. 54' Stoke C. 0 - 1 Manchester U. England - League Championship 18:42 September 24 FT Birmingham C. 1 - 1 Barnsley FT Bristol C. 1 - 1 Hull C. FT Burnley 1 - 1 Southampton FT Coventry C. 1 - 1 Reading FT Derby County 3 - 0 Millwall FT Doncaster R. 1 - 0 Crystal Palace FT Middlesbrough 0 - 0 Ipswich T. FT Portsmouth 1 - 0 Blackpool FT West Ham U. 1 - 0 Peterborough U. 69' Watford 0 - 1 Nottingham F.

KUTAKUWA NA GIZA TENA ???????

Image

Vodacom Foundation yasaidia walemavu

Image
Kamanda Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Kamishna Msaidizi Mohamed Mpinga (wa pili kilia) akimshukuru Afisa wa Vodacom Foundation Grace Lyon wakati wa kukabidhi mabango 30 yenye thamani ya shilingi 3.5 M kwa ajili ya watu wenye ulemavu Nchini. Wa pili (kushoto) ni Mwenyekiti wa Kamati ya Usalama Barabarani kwa watu wenye ulemavu Jutoram Kabatele na Mwakilishi wa Compass Communications Mario Mpingirwa.

PATA LYRICS ZA ONE THE INCREDIBLE UPATE DARASA BUREEEEEEEEE

Pure mathematics lyrics Yap, yeayah Ah, M-Lab (M-Lab is in the house) Moko, don’t touch it Yeah, Ahsante, Ah Beat kali haifai bila vocal Daily nakula dry, niko high kama popo Fanya worldwide sio ku try kama local Fake MC ukijikoki mi na squeeze kama fofo Ah, Verse baridi vaa koti Salamu kwa wanangu wote sina ripoti Bado mishemishe sapoti mwanangu opi Kila biti natoboa kama juisi ya kijoti Ni discipliner nawasimamisha wima Minya rapper [Mi nyarapa] mpaka sura kama simu ya kichina Mistari na vina, kwenye shari habari sina Mchagga halali, macho kwenye salari daima Zunguka kote hauna rafiki kama noti Sista duu hauna mnafiki kama shosti Tafuta deal uza hata pipi we bitoz Tafuta njia haya maisha hayamuliki kama tochi Chorus Chap chap chap chap ni sawa M-Lab, pure math, rap ni dawa Chap chap chap chap ni sawa Pure mathematics (dogo kapagawa) x2 We unachana mi nachana mpaka basi Niko booth nina bic, karama na karatasi Sina hofu, nina speak salama kwa sala safi Ila ukinivaa vibaya nakuchana...

RAIS KIKWETE ATEUA WAKUU WA MIKOA WAPYA

Image
RAIS Jakaya Kikwete amefanya mabadiliko ya Wakuu wa Mikoa nchini. Katika mabadiliko hayo, amewateua Wakuu wa Mikoa wapya 15, kuwabadilisha vituo vya kazi Wakuu wa Mikoa watano na wengine saba wamestaafu kwa mujibu wa taratibu. Mkuu wa Mkoa wa Singida amebaki kwenye kituo chake cha kazi wakati Wakuu wa Mikoa wengine wanne watapangiwa kazi nyingine. Aidha, Wakuu wa Mikoa mipya minne ya Simiyu, Geita, Katavi na Njombe itakayoundwa baada ya taratibu kukamilika watatangazwa baadaye. Kwa mujibu wa mabadiliko hayo, Wakuu wa Wilaya 11 wamepandishwa Vyeo na kuwa Wakuu wa Mikoa kama ifuatavyo: Bw. John Gabriel Tupa ambaye anakuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara; Bw. Saidi Thabit Mwambungu (Ruvuma); Bi. Chiku S. Gallawa (Tanga); Bw. Leonidas T. Gama (Kilimanjaro); Dk. Rehema Nchimbi (Dodoma); Bw. Elaston Mbwillo (Manyara); Kanali Fabian Massawe (Kagera); na Bibi. Fatma Abubakar Mwassa (Tabora). Wakuu wa Wilaya wengine walioteuliwa ni Bw. Ali Nassoro Rufunga, (Lindi)...

MAN UTD YAIKATALIA BENFICA NYUMBANI KWAKE

Image
Ajax 0 - 0 Lyon Basle 2 - 1 SC Otelul Galati Benfica 1 - 1 Man Utd Dinamo Zagreb 0 - 1 Real Madrid Inter Milan 0 - 1 Trabzonspor Lille 2 - 2 CSKA Moscow Man City 1 - 1 Napoli Villarreal 0 - 2 Bayern Munich

ARSENAL WALAZIMISHA SARE UGENINI, BARCA YASHIKWA NYUMBANI, CHELSEA YAUA DARAJANI

Image
BAO la Mholanzi Robin Van Persie katika dakika ya 42 usiku huu kwenye Uwanja wa Signal Iduna Park, Dortmund, Ujerumani mbele ya mashabiki 65,614 chupuchupu liipe Arsenal ushindi wa 1-0 ugenini dhidi ya wenyeji Borussia Dortmund kama si Ivan Perisic kusawazisha dakika ya 88. Katika mchezo huo wa Kundi F, kikosi cha Gunners jana kilikuwa; Wojciech Szczesny, Bacary Sagna, Per Mertesacker, Laurent Koscielny, Kieran Gibbs, Alex Song, Mikel Arteta, Theo Walcott, Yossi Benayoun, Gervinho/Santos dk 86 na Robin Van Persie/Chamakh dk 85. Borussia Dortmund; Roman Weidenfeller, Lukasz Piszczek, Neven Subotic, Mats Hummels, Marcel Schmelzer, Sven Bender, Sebastian Kehl/ Blaszczykowski dk 68, Mario Gotze, Shinji Kagawa/Zidan dk 85, Kevin Grosskreutz/Perisic dk 69 na Robert Lewandowski. Aidha, mabingwa wa Ulaya wenye hadhi ya kucheza soka adimu zaidi duniani, Barcelona walilazimishwa sare ya kufungana mabao 2-2 na AC Milan ya Italia kwenye Uwanja wa Camp Nou mjini Barcelona katika mc...

TCU WATOA MAJINA YA WANAFUNZI WALIODAHILIWA KATIKA MWAKA WA MASOMO 2011/12

TCU wakishirikiana na Bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu (HESLB) wametoa majina ya wanafunzi wapya ambao wamedahiliwa katika mwaka wa masomo 2011/12. Majina hayo yameambatana na viwango vyao vya mikopo ambayo wamepatiwa na Bodi ya Mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu.Majina hayo unaweza kuangalia kwa kuclick link hii hapa chini. http://www.tcu.go.tz/info/news/view_news.php?id=56 KUANGALIA KIWANGO CHA MKOPO http://www.heslb.go.tz/