TCU WATOA MAJINA YA WANAFUNZI WALIODAHILIWA KATIKA MWAKA WA MASOMO 2011/12

TCU wakishirikiana na Bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu (HESLB) wametoa majina ya wanafunzi wapya ambao wamedahiliwa katika mwaka wa masomo 2011/12. Majina hayo yameambatana na viwango vyao vya mikopo ambayo wamepatiwa na Bodi ya Mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu.Majina hayo unaweza kuangalia kwa kuclick link hii hapa chini.

http://www.tcu.go.tz/info/news/view_news.php?id=56

KUANGALIA KIWANGO CHA MKOPO


http://www.heslb.go.tz/

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA